Plasduce Mbossa wa TPA: Serikali Kupitia TPA imesaini MoUs na Kampuni za Saudi Arabia,China na Egypt Ili Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo

Ndio hivyo mbwa wanawanyoosha
Of course ukiona serikali imetengeneza vikundi vilivyojificha nje ya mfuma wa majeshi, ujue hiyo ni serikali ya kijambazi! Nitawaita Mbwa pamoja na weewe unayewatetea ni mbwa koko tu!
 
Hadi ifike 2030, mpaka wananchi nao watakuwa wameshapigwa mnada kwa hao Waarabu. Yaani kuna kila dalili ya kurudishwa enzi za utumwa kutokana tu na aina ya watawala tulio nao.

Mimi kwa kweli nitahamia Burundi ili kuunga mkono ile kauli ya Lameck.
Mwaka 2030 mbona mbali sana mtakuwa mmeshaanza kuyaona matokeo ya haya maamuzi ya ovyo anayofanya Samia na machawa wake.

Kwanza 2027 tu hapo deni la Taifa litakuwa limefika 150trillion na mtakuwa tayari mko kwenye debt limit, pengine nchi itakuwa haikopesheki tena.... na hivyo kutegemea mapato ya ndani kuendesha nchi ambayo siku zote huwa hayotoshi.

Na hiyo itamfanya Samia kubinafisisha/kuuza na mbuga za wanyama kwa wajomba zake waaarabu kwa misingi ile ile kwamba wao ndio wana akili hivyo acha watuendeshee na sekta yetu ya utalii hili pato liongezeke..!

Yaani mpaka huyo bibi za kizanzibar anakuja kuiachia hii nchi 2030 nahisi hata uwanja wa ndege wa JNIA utakuwa chini ya waarabu.
 
Hakuna mkataba wa kuuona ,sheria hazitaki hayo unayosema wewe.
Sasa unashangilia kama hata mkataba wenyewe hauujui? Unaamini vipi kama haya ndio makubaliano pekee kwenye huo mkataba?

Halafu tukisema nyie machawa hamna tofauti na maiti zinazotembea mnahisi kutukanwa
 
Utakuwa na shida ya akili, mbona hutaji ya Zanzibar? kwamba hatulipi kodi?
Zanzibar na Bara ni nchi moja, Samia ni Rais wa JMT yote kwa ujumla wake kwake yeye kinachofanyika popote ndani ya Jamhuri mhusika mkuu ni mamlaka yake.

Akili huna wewe ambaye unawaza vitu vya kipumbavu muda wote.
 
Wewe dada huna akili hata kidogo, kama Zanzibar na Bara ni nchi moja nenda kule ukanunue ardhi, ugombee, omba ajira ama kitambulisho cha mkazi kama utapewa. Haya mawazo yako ya kipumbavu ya kuigeuza bara kuwa koloni la wazanzibar mimi sina huo ushetani.
 
Sasa unashangilia kama hata mkataba wenyewe hauujui? Unaamini vipi kama haya ndio makubaliano pekee kwenye huo mkataba?

Halafu tukisema nyie machawa hamna tofauti na maiti zinazotembea mnahisi kutukanwa
Muda sio mrefu ofisi ya mwanasheria mkuu itaanza kupitia wasifu wa hawa wawekezaji watatu watakaopitishwa na serikali kwa ajili ya shughuli za uwekezaji kuanza.

Tunaweza kupiga kelele kadri tuwezavyo lakini hatuwezi kukwepa umuhimu wa bandari ya Bagamoyo.

Huwezi kuwa na kilomita 1424 za fukwe kutoka Tanga mpaka Mtwara halafu usizitumie katika shughuli za kiuchumi zenye kutarajiwa kuongeza pato la Taifa. Tunapiga siasa za midomoni wakati tunayo rasilimali ya bahari ambayo ni pesa tupu ikiweza kutumiwa vyema.
 
Kama kweli unazo akili nzuri kwanini ukahangaike na eneo dogo la Zanzibar halafu ukaiacha ardhi nyingi tu iliyopo huku Bara?. Mapori matupu yamejaa kuanzia hapo Kisarawe na Bagamoyo halafu uende ukahangaike na ardhi ya visiwani!!.
 
Wewe dada umelaaniwa haswa, Kilimanjaro ardhi ni kidogo kuna mtu amewahi kuzuiwa wa kutoka Tabora ama Morogoro kisa ardhi Kilimanjaro ni kdg? Dar ardhi ni kidogo mbona tukienda tunanunua na hatuzuiwi na mtu? Utabaki na ujinga wako milele
 
Mjinga wewe usiyejua kwamba idadi ya wakazi wa Kinondoni pekee ni wengi kuliko Unguja na Pemba ukiziweka pamoja.

Siasa za chuki haziwezi kutuacha salama, kumbuka kuwa Urais wa Samia upo kwa sababu ya kifo cha JPM. Hatuwezi kukubaliana na mawazo ya kijinga ya kuivunja nchi kisa uzanzibari wa Samia.
 
Wewe huna akili na ni kati ya wanawake wajinga nchi hii, muungano ambao wazanzibar wana haki pekee lakini sisi haturuhusiwi hata kuishi tunachukuliwa kama wageni kutoka nje. Sitaki mimi muungano wa kijinga nataka haki sawa kama ni ajira tupate wote, wingi wa watu siyo issue kama wao ni wachache kwanini wao wanaruhusiwa kama ilivyo wazaliwa wa Arusha au Morogoro?
 
Uwepo wa wazanzibari nina uhakika hauingiliani na wewe na familia yako kupata riziki zenu za kila siku.

Zanzibari nimekueleza kuhusu udogo ilionao kwa kuilinganisha na Bara. Sio kweli kwamba wazenji wana haki pekee ni aina ya jiografia zetu zilivyo.
 
Kwani Kilimanjaro ni kubwa? sisi ndugu zetu wanakosa ajira wanapewa wazanzibar mpk TAMISEMI lakini hakuna mbara hata mmoja kule kwenye serikali yao. Huo ujinga sisi hatuutaki, wewe mzanzibar anakusaidia nini au ni kwa sababu huna akili umelaaniwa?
 
Umelaaniwa wewe na ukoo wako wote. Watanzania bara tunapata ajira nyingi serikalini, punguza hizi nongwa za kipumbavu ongea kama mtu mwenye akili timamu.

Zanzibar ni sehemu ndogo sana ya Muungano wa Tanzania, kama unakuumiza kiasi cha kujiona mnyonge, basi nenda kapimwe akili zako pale Muhimbili.
 
Nitaongea na mumeo akusaidie nadhani una shida dada angu
 
Unaongea na mwanaume mwenye zaidi ya miaka 50 juu ya uso wa dunia hii, wajinga wa aina yako hawawezi kupewa muda hata wa kusikilzwa mawazo ya kuvunja nchi hakuna anayeweza kuyaendekeza.
Kama una miaka 50 huku huna akili basi kuna shida kubwa sn, utaendelea kuwa mpumbavu mpk lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…