Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

shukran sn kwa muda wako ila nnaombi la ziada nomba next tym ukiweza uwe unatuwekea na picha ya muhusika wa simulizi unayokuwa unatusimulia ili kuweka alama ya ukubusho kwa cc wasomaji

Sawa Mkuu! Nitafanya hivyo..
 
Story imenibamba
 
Kweli Dunia ina mambo
 
Wakuu aisee tujitahidi basi tusiquote uzi wote!

Hili suala kila siku tunaambiana! Ukiquote uzi mrefu kama huu ni usumbufu mkubwa kwa wanaotumia simu wanashindwa kusoma comments simu inastuck au app inacrush kabisa..

Ukitaka mtu aone comment yako mention tu username yake. Mfano @ The Bold (usiache space kati ya @ na The Bold)

Tafadhali sana wakuu..
 
The bold ahsante Sana kwa simulizi za huyu jamaa jama vile naangalia Narcos japokuwa umeenda deep zaidi stay blessed.Peace ✌!!!
 


Kikao maalumu kati ya uongozi wa juu wa serikali ya marekani na uongozi wa juu wa Medellín Cartel.
Marekani iliwakilishwa na George Bush (Bush mkubwa (katikati aliyevaa suti) kipindi hicho akiwa makamu wa rais chini ya Rais Ronald Regan na Medellín Cartel iliwakilishwa na Manuel Noriega (pembeni ya Bush kulia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…