Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

nikusifu kimtaani ntakwambia the bold ni m****** sidhan kama utalikubali hilo

anyway pamoja mkuu kwa mara nyingine tena nimekuelewa
 
Safi sana mkuu The bold kwa simulizi nzuri ya huyu bingwa, Pablo Escober.
Sijui ni coincidence au, 27 Nov mwaka ulioutaja hapo juu umesema jamaa alilipua ndege ya abiria. Juzi, 28 Nov 2016 ndege ya abiria iliyobeba timu ya mpira kutoka Brazil imecrash ilikuwa inaenda kucheza na timu kutoka mji wa Medellin, mji aliotoka Pablo.
Imetokea tu nimewaza hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…