Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
- Thread starter
-
- #41
Kwani previous haikuwepoMikopo nayo ni source ya kipato kwa mtu.
We ndo muongo kuliko wote weka kadi hapa uthibitishe unalolisema.Unazingua ww mzee me kasajil gari 2016 october ilikuw DDF
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!
Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but sasahivi yani unaweza shangaa number D isimalize miaka 5 licha ya namna bora ya urefushaji wa mgawanyo wa namba unaotumika!
Last two months DQ.. was on top juz nimestushwa kuona eti tushafika DR.. duh!
Nakosa jibu je ni kweli vyuma vimekaza au havijakaza?
Nisaidieni wadau na ningependa general views usijiongelee ww binafsi ongelea maisha ya watu wanaokuzunguka kwa ujumla.
Ukiona saving zinaongezeka kuliko spending (investing) jua umeamua kuilaza akili yako wakati bank wakitafuta wenye kuweza kuzizungusha savings zako na kuzirudisha siku utakayoamkanadhani kukaaza au kutokokaza,matokeo yake yapo kwa mtu mmoja mmoja.kuna wanafurai na mambo yao yanaenda ila kuna wanaoteseka mambo yamegoma.binafsi naona maisha yangu niyale yale,ila labda nimeongeza saving zaidi ya spending.
Labda Kama unalipia mil 10 Kama wanaoweka jina kwenye plate numberHizo namba hazina mahusiano halisi. Unaweza lipia ukapewa namba unayohitaji. Mfano tuko D, wewe ukapewa H, ilimradi hizo namba zisiwe zimepangwa kwenye Taasisi.
Hapa nawe umezingua.Unazingua ww mzee me kasajil gari 2016 october ilikuw DDF
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!
Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but sasahivi yani unaweza shangaa number D isimalize miaka 5 licha ya namna bora ya urefushaji wa mgawanyo wa namba unaotumika!
Last two months DQ.. was on top juz nimestushwa kuona eti tushafika DR.. duh!
Nakosa jibu je ni kweli vyuma vimekaza au havijakaza?
Nisaidieni wadau na ningependa general views usijiongelee ww binafsi ongelea maisha ya watu wanaokuzunguka kwa ujumla.
Mimi nina maoni tofauti kidogo naona gari hazinunuliwi namna hiyo!!
Namba D tangu mwanzoni mwa 2015 mpaka leo bado ipo jamani!?? Bado tunasema watu wananunua magari kwa wingi! ?
Hebu wenye nazo muongeze Spid ya kununua magari tumtokomeze huyu Namba D ameshaanza kuwa Mugabe sasa!!!
Sept 2016 nilisajiri DHUnazingua ww mzee me kasajil gari 2016 october ilikuw DDF
Sep 2016 ilikua DHSijui hii imekaaje, kuna gari ilisajiliwa September 2015 no DFD. Labda kama kuna other factors wanazingatia kwenye numbering.
Ukuu wa wilaya haujakushukia mkuu kweli..sio kwa kuinenea vema hivi serikaliUkiwasikiliza sana wanasiasa hasa wa upinzani unaweza kuona vyuma vimekaza kweli lakini kiuhalisia siyo kweli. Mwanzo walisema serikali haina pesa na ina hali mbaya lakini cha ajabu tuliendelea kuona miundo mbinu ikijengwa kwa kasi. Kazi hasa ya vyama vya upinzani kwa sasa ni uzushi, kuwatia hofu wananchi na kuhakikisha serikali haifanikishi vitu vya maendeleo ili wao wajijenge kisiasa.
Hakuna ukweli kuhusu hili, awamu hii kasi ya ununuzi magari imepungua. Namba inayoanzia D imekaa muda mrefu sana. Kama sikosei JK aliacha DK..
Sept 2016 nilisajiri DH
Umeichoka D unaitaka E sio?D imeanza katikati ya mwaka 2014 mkuu. Yaani imeshauza sana kitaa mpaka tumeichoka. Huyu mleta mada atakuwa ameanza kufuatilia recently
Hahah nahiso itakuwa tray ya mayaiNissan gani?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]
Siyo kweli, DGT imesajiliwa March 2016...DDF itakuwa kabla ya 2016. Najua DAS ni kabla ya 2015!Unazingua ww mzee me kasajil gari 2016 october ilikuw DDF
Extray[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nissan gani?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377]