Plate namba za magari zinavyokimbia hivi ni kweli vyuma vimekaza ?

Plate namba za magari zinavyokimbia hivi ni kweli vyuma vimekaza ?

Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!

Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but sasahivi yani unaweza shangaa number D isimalize miaka 5 licha ya namna bora ya urefushaji wa mgawanyo wa namba unaotumika!

Last two months DQ.. was on top juz nimestushwa kuona eti tushafika DR.. duh!

Nakosa jibu je ni kweli vyuma vimekaza au havijakaza?
Nisaidieni wadau na ningependa general views usijiongelee ww binafsi ongelea maisha ya watu wanaokuzunguka kwa ujumla.

Hizo namba hazina mahusiano halisi. Unaweza lipia ukapewa namba unayohitaji. Mfano tuko D, wewe ukapewa H, ilimradi hizo namba zisiwe zimepangwa kwenye Taasisi.
 
nadhani kukaaza au kutokokaza,matokeo yake yapo kwa mtu mmoja mmoja.kuna wanafurai na mambo yao yanaenda ila kuna wanaoteseka mambo yamegoma.binafsi naona maisha yangu niyale yale,ila labda nimeongeza saving zaidi ya spending.
Ukiona saving zinaongezeka kuliko spending (investing) jua umeamua kuilaza akili yako wakati bank wakitafuta wenye kuweza kuzizungusha savings zako na kuzirudisha siku utakayoamka
 
Hizo namba hazina mahusiano halisi. Unaweza lipia ukapewa namba unayohitaji. Mfano tuko D, wewe ukapewa H, ilimradi hizo namba zisiwe zimepangwa kwenye Taasisi.
Labda Kama unalipia mil 10 Kama wanaoweka jina kwenye plate number
 
Herufi D ikikamilika DZZ maana yake Magari 500000 na zaidi yameingia nchini
Kila herufi 1 ni magari 889
Ukiondia herufi I na O sababu zaingiliana na 1 na 0 zinabakia herufi 24
Zidisha hapo utapata
Q tayari magari 21000na zaidi yako mjini
 
Mbona D imeshamaliza miaka mi5 mkuu
Sijawahi kuona kipindi ambacho namba za magari zinakimbia kama wakati huu na huku mitaani kukiwa na malalamiko yakuwa vyuma vimekaza!

Miaka ya nyuma number A to B ilitumia more than 10 years but sasahivi yani unaweza shangaa number D isimalize miaka 5 licha ya namna bora ya urefushaji wa mgawanyo wa namba unaotumika!

Last two months DQ.. was on top juz nimestushwa kuona eti tushafika DR.. duh!

Nakosa jibu je ni kweli vyuma vimekaza au havijakaza?
Nisaidieni wadau na ningependa general views usijiongelee ww binafsi ongelea maisha ya watu wanaokuzunguka kwa ujumla.
 
D imeanza katikati ya mwaka 2014 mkuu. Yaani imeshauza sana kitaa mpaka tumeichoka. Huyu mleta mada atakuwa ameanza kufuatilia recently
Mimi nina maoni tofauti kidogo naona gari hazinunuliwi namna hiyo!!

Namba D tangu mwanzoni mwa 2015 mpaka leo bado ipo jamani!?? Bado tunasema watu wananunua magari kwa wingi! ?

Hebu wenye nazo muongeze Spid ya kununua magari tumtokomeze huyu Namba D ameshaanza kuwa Mugabe sasa!!!
 
Ukiwasikiliza sana wanasiasa hasa wa upinzani unaweza kuona vyuma vimekaza kweli lakini kiuhalisia siyo kweli. Mwanzo walisema serikali haina pesa na ina hali mbaya lakini cha ajabu tuliendelea kuona miundo mbinu ikijengwa kwa kasi. Kazi hasa ya vyama vya upinzani kwa sasa ni uzushi, kuwatia hofu wananchi na kuhakikisha serikali haifanikishi vitu vya maendeleo ili wao wajijenge kisiasa.
Ukuu wa wilaya haujakushukia mkuu kweli..sio kwa kuinenea vema hivi serikali
 
Siyo kweli mkuu, nimenunua gari September 2016 DHZ. Sasa cheki kati ya K na H ipi ipo mbele!
Hakuna ukweli kuhusu hili, awamu hii kasi ya ununuzi magari imepungua. Namba inayoanzia D imekaa muda mrefu sana. Kama sikosei JK aliacha DK..
 
Kipimo cha ugumu au urahisi wa maisha. Ni raia kuwa na magari mengi au machache,?
mzee wako alipata hasara kukusomesha
 
Back
Top Bottom