Plate number za Magari Tanzania

Natumae mlete mada umepata muongozo...
Bado aisee.... Yani ningependa kufahamu zaidi,
Sawa ni chasis/model number ila sasa... kwanini iwekwe hiyo na sio namba za kawaida. Je gharama za kuweka hiyo zikoje. Je mtu anaamua tu kuweka au kuna vigezo vya kuiweka. Kwa maana sedan nyingi za mercedes ndo nmeona ziko hivyo
 
Hio style nafikiri ni usajili wa temporary kuna hela wanalipia kuifanya. Huo mtindo umeibuka kwa kasi kipindi hiki cha kuelekea usajili wa namba E!

Wengi wanaofanya hivyo ni wanaosubiria namba zipindukie E ili waweze kusajili rasmi namba E.
 
Chujua kadi yoyote ya gari.

Ina Chassis number na model number. Angalia utifauti wake.

Ndio utaelewa nnavokuambia hiyo ni model number.
Hio ni sehemu ya chassis number. Bahati mbaya kwenye kadi wanaandika watu wasio na uelewa matokeo yake model/engine number wanajiandikia tu. Kwa kesi hii wamechukua herufi na namba chache(uhuni/ubabaishaji tu).
Hii Benz nafikiri ni C class W204 ambayo chassis number zake zinakuwa WDD2040412A........... Jumla zina 17-characters.
 
Neno sahihi ni Number Plate.

Nirudi kwenye mada. Hio ni Usahili wa chasis number
Hivi hiii english kawadanganya nani?? Mapresenter wanawapoteza saaana

Wap wamesema plate number sio sahihi!?

Na hii ni oxford... Acheni complication za kijuba
 
Inaonekana watu wanatamani sana kuwa na plate number unique. Hii kitu ipo sana Marekani. Mtu anaweza gari yake akaenda kuisajiri halafu ile licence plate ikaandikwa gpa yake ya chuo mfano. G.P.A 4, au akaweka jina lake mfano Clifford 3rd etc.

Serikali ya CCM na urasimu wake na kushindwa au kufeli kusikiliza mahitaji wangeweza kuweka a very small yearly fee mfano hata 100,000 kwa wamiliki wa magari ambao wangependa kuweka majina yao katika magari.

Wao wameweka milioni 3 kwa miaka 3. Matokeo yake ni watu wachache sana tena ni wale wenye pesa tu ndio ambao wanatumia ila hawapo wengi kwa idadi.

Ila wangeweka mfano hiyo fee ya 100,000 kwa mwaka ni wamiliki wa magari wangapi wangesajiri unique license plates kwaajiri ya gari zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…