Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ni chasis number/VIN (vehicle identification number) ya gariNaomba kufahamishwa kuhusu aina hii ya Plate number hapa BongoView attachment 2317992
Manake hapo ndo gari imeshasajiliwa au vpNeno sahihi ni Number Plate.
Nirudi kwenye mada. Hio ni Usahili wa chasis number
Hiyo ni model numberNaomba kufahamishwa kuhusu aina hii ya Plate number hapa BongoView attachment 2317992
Hakuna Chassis nunber/VIN number fupi hivo kwenye gari za Ulaya.Hio ni chasis number/VIN (vehicle identification number) ya gari
Huwa hawaweki zote wanachukua za mwanzoni au mwishoniHakuna Chassis nunber/VIN number fupi hivo kwenye gari za Ulaya.
Chujua kadi yoyote ya gari.Huwa hawaweki zote wanachukua za mwanzoni au mwishoni
Bado aisee.... Yani ningependa kufahamu zaidi,Natumae mlete mada umepata muongozo...
Hio style nafikiri ni usajili wa temporary kuna hela wanalipia kuifanya. Huo mtindo umeibuka kwa kasi kipindi hiki cha kuelekea usajili wa namba E!Bado aisee.... Yani ningependa kufahamu zaidi,
Sawa ni chasis/model number ila sasa... kwanini iwekwe hiyo na sio namba za kawaida. Je gharama za kuweka hiyo zikoje. Je mtu anaamua tu kuweka au kuna vigezo vya kuiweka. Kwa maana sedan nyingi za mercedes ndo nmeona ziko hivyo
Hio ni sehemu ya chassis number. Bahati mbaya kwenye kadi wanaandika watu wasio na uelewa matokeo yake model/engine number wanajiandikia tu. Kwa kesi hii wamechukua herufi na namba chache(uhuni/ubabaishaji tu).Chujua kadi yoyote ya gari.
Ina Chassis number na model number. Angalia utifauti wake.
Ndio utaelewa nnavokuambia hiyo ni model number.
Hivi hiii english kawadanganya nani?? Mapresenter wanawapoteza saaanaNeno sahihi ni Number Plate.
Nirudi kwenye mada. Hio ni Usahili wa chasis number
Simeona gari ina plate number SMT
Mh kama ndio hivyo basi sio POA kabisaaSerikali za mitaa Tanzania [emoji1241]
Hivi hiii english kawadanganya nani?? Mapresenter wanawapoteza saaana
Wap wamesema plate number sio sahihi!?
Na hii ni oxford... Acheni complication za kijubaView attachment 2325286