Platform ya jamii kwa nchi za Ulaya

Calyx24

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
213
Reaction score
292
wakuu naombeni mnisaidie platform ya jamii katika nchi za ulaya ili niweze kujiongezea maalifa kiujumla
 
go post this on facebook. you will get help there
 
try kenya talk, quora or reddit
JamiiForums.com niliwai kupita ila sikuelewa wanaongea lugha gani mana wanachanganya kingereza,kiswahili na lugha zao kwenye sentensi moja nashindwa kuelewa
 
wakuu naombeni mnisaidie platform ya jamii katika nchi za ulaya ili niweze kujiongezea maalifa kiujumla

Nenda Quora na Medium, hizo mbili utajadili mada huko na kujielimisha mambo mengi sana, kwa kweli mimi binafsi zimenisaidia pakubwa, sijawahi kujutia hata dakika moja ambayo natumia kwenye Quora au hata hiyo Medium.
 
Ni kweli binafsi pia natumia Quora iko poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…