Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
try kenya talk, quora or redditi need like jamiiforum thatwhy am here
Amesema Ulaya wewe una itaja Kenya talk au wajaluo siku izi wamekua wazungu! [emoji1]try kenya talk, quora or reddit
Mkuu jaribu hiyo quora, ina ujazo. Achana na KT wamejazana mungiki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
wakuu naombeni mnisaidie platform ya jamii katika nchi za ulaya ili niweze kujiongezea maalifa kiujumla
Quora iko poa kama unajua kizunguwakuu naombeni mnisaidie platform ya jamii katika nchi za ulaya ili niweze kujiongezea maalifa kiujumla
Kenya ni ulaya, kwani hujui?Amesema Ulaya wewe una itaja Kenya talk au wajaluo siku izi wamekua wazungu! [emoji1]
Hujui kwani? ulaya ni KenyaKenya ni ulaya, kwani hujui?
Ni kweli binafsi pia natumia Quora iko poa sanaNenda Quora na Medium, hizo mbili utajadili mada huko na kujielimisha mambo mengi sana, kwa kweli mimi binafsi zimenisaidia pakubwa, sijawahi kujutia hata dakika moja ambayo natumia kwenye Quora au hata hiyo Medium.
Uko sahihiNenda Quora, iko very educative
Kwa nini huna "maalifa" [emoji1][emoji1][emoji1]wakuu naombeni mnisaidie platform ya jamii katika nchi za ulaya ili niweze kujiongezea maalifa kiujumla
Quora ndio nn mkuuQuora iko poa kama unajua kizungu
Tumia Google kutafuta QuoraQuora ndio nn mkuu
Nadhani alimaanisha anataka kupata mali na maarifa, 'collabo' yake ndio inakuwa 'maalifa'. [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini huna "maalifa" [emoji1][emoji1][emoji1]