Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Kabisa yaniBig G ni aje remix iliyotoka ndn ya siku moja na kufa kabisa
I hope upo level zingineDuuh [emoji38][emoji38][emoji1] mkuu naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea diamond na kujivika kivuli cha usemaji wa wcb ila kama ungekutumia nguvu kama hizi katika kuimarisha hali ya uchumi wako ungekuwa level zingine sasa.
Stop being lame!.Wewe uchumi wako vipi?! Muda ulotumia apa si ungetumia kupandisha na wako pia. Live yo life man na kama huna cha kuchangia pass by. Hujalazimishwa.Duuh [emoji38][emoji38][emoji1] mkuu naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea diamond na kujivika kivuli cha usemaji wa wcb ila kama ungekutumia nguvu kama hizi katika kuimarisha hali ya uchumi wako ungekuwa level zingine sasa.
Umejuaje kuwa hajaimarisha hali yake kiuchumi? Unamfahamu? Definition yako yakujiimarisha kiuchumi ni ipi, au umehisi tu hali yako kiuchumi hapo ni sawa na yake?Duuh [emoji38][emoji38][emoji1] mkuu naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea diamond na kujivika kivuli cha usemaji wa wcb ila kama ungekutumia nguvu kama hizi katika kuimarisha hali ya uchumi wako ungekuwa level zingine sasa.