Platform ya kuuza na kununua muziki wasafidotcom tayari kwa matumizi

7fcd40cf9df928345ab641a75cfb6599.jpg

Vile vile wimbo mpya wa Mrisho Mpoto unatarajia kutoka karibuni utaupata Wasafidotcom.
 
Duuh [emoji38][emoji38][emoji1] mkuu naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea diamond na kujivika kivuli cha usemaji wa wcb ila kama ungekutumia nguvu kama hizi katika kuimarisha hali ya uchumi wako ungekuwa level zingine sasa.
I hope upo level zingine
 
Duuh [emoji38][emoji38][emoji1] mkuu naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea diamond na kujivika kivuli cha usemaji wa wcb ila kama ungekutumia nguvu kama hizi katika kuimarisha hali ya uchumi wako ungekuwa level zingine sasa.
Stop being lame!.Wewe uchumi wako vipi?! Muda ulotumia apa si ungetumia kupandisha na wako pia. Live yo life man na kama huna cha kuchangia pass by. Hujalazimishwa.
 
Duuh [emoji38][emoji38][emoji1] mkuu naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea diamond na kujivika kivuli cha usemaji wa wcb ila kama ungekutumia nguvu kama hizi katika kuimarisha hali ya uchumi wako ungekuwa level zingine sasa.
Umejuaje kuwa hajaimarisha hali yake kiuchumi? Unamfahamu? Definition yako yakujiimarisha kiuchumi ni ipi, au umehisi tu hali yako kiuchumi hapo ni sawa na yake?
 
Back
Top Bottom