Platform ya kuuza na kununua muziki wasafidotcom tayari kwa matumizi

Platform ya kuuza na kununua muziki wasafidotcom tayari kwa matumizi

Nilikuambia umechanya habari mbili, Diamond hajawah sema kitu ilicho sema mwanzo

Mosi, swala la kodi, kodi ilikua ya mwaka mmoja kabla ya mkataba wake na Universal... Pesa ya Mkataba wake na universal alitoa kias akanunua nyumba South Africa


Pili, Issue ya Universal na usambazaji, Wale n sawa na Super dealer, watasambaza music kwenye masoko yao, hii haizuii au haiwek kizuiz kwa mtu kusambaza kazi zake kwa njia nyingne

Umeenda pale Azam ukafunga nao mkataba wa sumbaza ngano yao, haiwazuii wao nao kusambaza kwasababu wewe ndio super dealer..


Nyongeza# Hiyo website sio kwaajil ya Wasafi pekee, n wasanii wote Africa... leo ukienda kwenye digital platform kibao tu kazi za Wasafi unazikuta humo, mpya na za zaman, kama ingalikua n kazi zao zote zitasambazwa na Universal pekee, hizo kazi za wasafi zingeondolewa kwenye digital platform zote ambazo haziko chini ya Universal
Unazunguka alafu unarudi pale pale nilipoanzia.Yaani Universal wakubali kumlipia mtu bilioni 2 alafu wamuache kirahisi rahisi aendelee kuingiza hela kwenye kitu ambacho wao wamekilipia?!

East Africa ndio soko kuu la Diamond unadhani Universal wasipopata faida huku watauza wapi tena kazi za Dimond kwa faida?!

Alisema kuwa kazi za Wcb zitasambazwa na Universal music au hakusema?!

Hakusema kuwa walilipwa bilioni mbili kwa ajili hiyo au hakusema?!

Unakumbuka kuwa Marry you ilivyotoka ilisambazwa vipi?!

Nini kilichobadilika sasa hivi?!
 
N short 1milion dollar ta kwa universal n kubwa hawawez kkupa afu wasikamue assert yao tena kwenye potential market unless aweke wazi kuwa hiyo site siyo yake bal n ya universal wemeweka ilkuanza kurudisha 2.2b na kutumia jina kupata wasanii wengine wa kunufaika na soko la east africa ambayo ndo the main cover
Umesema kitu kikubwa mno mkuu.

Hiyo ni sawa kwa mchezaji kusajiliwa man u kwa mabilioni alafu aachwe akacheze ndondo.

Iko wazi hapa kuna ujanja ujanja Dimond akishirikiana na Universal unataka kufanyika.
 
Yule jamaa wa kuitwa Beka Boy Youtube wamemfungia account yake, pale ilikuwa unadowload nyimbo zote bure.
 
Unazunguka alafu unarudi pale pale nilipoanzia.

Alisema kuwa kazi za Wcb zitasambazwa na Universal music au hakusema?!

Hakusema kuwa walilipwa bilioni mbili kwa ajili hiyo au hakusema?!

Unakumbuka kuwa Marry you ilivyotoka ilisambazwa vipi?!

Nini kilichobadilika sasa hivi?!
Mbona wazaramo wengine waelewa,Yaani mambo madogo kama aya unataka kila muda uambiwe buana.Chunguza kwanza system nzima ya uuzaji wa muziki.Elewa wasafidotcom sio platform ya kuuza kazi za mondi tu bali msanii yoyote kwa ivo universal wanaeza kuitumia wasafidotcom kusambaza kazi za WCB.Kama hujaelewa kaangalie NgazkwaNgaz au kakojoe ulae tunaoelewa tujadili.
 
Mbona wazaramo wengine waelewa,Yaani mambo madogo kama aya unataka kila muda uambiwe buana.Chunguza kwanza system nzima ya uuzaji wa muziki.Elewa wasafidotcom sio platform ya kuuza kazi za mondi tu bali msanii yoyote kwa ivo universal wanaeza kuitumia wasafidotcom kusambaza kazi za WCB.Kama hujaelewa kaangalie NgazkwaNgaz au kakojoe ulae tunaoelewa tujadili.
Umekuja kwenye point kuu.

Kwa hiyo Universal music wanafanya kazi pamoja na Wasafi.com au Haya ni mawazo yako binafsi tu?!

Hilo
 
Screenshot_2017-03-09-21-14-59.jpeg
 
Mkataba wa Sony na Ali ni tofauti na Mkataba wa Dimond na Universal kama ulimsikiliza mwenyewe Dimond alivyokuwa akitamba siku ile kwenye XXL.

Mkataba wa Ali yeye anasimamiwa kila kitu na Sony...kama ilivyokuwa Wcb wanavyomsimamia Harmonise,Mavoko au Raymond ila Mkataba wa Dimond na Universal ni kuwa jamaa kazi yao ni kusambaza na kuuza kazi za Wcb dunia nzima.

Ila cha ajabu hii Wasafi.com kuna kazi zote za Wasanii wa Wcb akiwemo na Dimond mwenyewe...Sasa kwa akili zako za kawaida unakubali kuwa watu wakulipe bilioni 2.2 Alafu bado wakuache uendelee kupata hela kupitia kitu ambacho washakupa hela?!

Kuna vitu Dimond hakuweka sawa siku ile pengine kwa bahati mbaya au kwa makusudi maana jamaa siku ile alikuwa kapanic na aki-panic huwa anaongea mpaka zisipokuwepo
Mbona unahangaika sana ndugu..!?
 
Yaaani Diamond bado anaendelea kuonesha Kuwa yeye ni msanii wa kimataifa! Hiki kitu ni amebuni kitu kikubwa sanaaa na wasanii wengine hawana Budi kumuunga mkono! Kwasababu kwa Afrik ameshatoboa Means wasanii wengi wataweka nyimbo zao huko! Kama wimbo mmoj ni sh 300 assume watu millioni 1 wakanunua huo wimbo 1 means ni 300×1000000=30,000,0000 Hapo msanii lazima Atajirike!! Hii ni akili kubwa sanaaa na Msurur wa watu wanao enda OFISI ZA WCB ni ishara tosha kuwa mwitikio ni mkubwaaa hi nzuro sanaaa

Kuwa chini ya Label fulani haimanishi wewe utashindwa kufanya kitu kinginee!!! Diamond yupo chini ya Universal Music Group lakini haimanishi yeye ashindwe kufanya menginee hii tunaita akili kubwa

Ushauri wangu kwa Diamond ni kuwa Hiyo website yake iwe ya Kimataifa kweli ya Iwe updated sio wimbo unatoka leo hadi masaa 3 haupatiki kwenyw hyo website hapanaaa wimbo unaachiwa wakato tayari upo KWA WEBSITE....

Pili asije akawacheweleshea malipo wasanii wenye kazi zao huko au akawazungusha au wakashindwana katika malipo yaani iwe kizunguz kweli mtu apewe haki yake anayostahili na kwa wakatii mtu kama hana uwezo wa kuelewa mkataba ni bor asimpokeee hapo Uswahili aweke pembeni asije letewa shida na aibu bure hapo ni anacheza na nguvu za watu na hela za watu awe makini sanaaaa katika Malipooo ya kazi za watuuu asiwe mnyonyaji wala mnyonywaji!!!

Nampenda Diamond ila awe makini sanaa kwenye Suala la malipo ya kazi za watuuu

Chonde chonde Diamond my Brother Usichezee na Malipo ya kazi za watuu TENDA HAKII vinginevyooo issue iko poa sanaaa
 
Umekuja kwenye point kuu.

Kwa hiyo Universal music wanafanya kazi pamoja na Wasafi.com au Haya ni mawazo yako binafsi tu?!

Hilo
Ndio ivo.Jamaa anapiga ela twice,Kama mmiliki wa platform lakini pia muuzaji yaani msanii.
 
Ndio ivo.Jamaa anapiga ela twice,Kama mmiliki wa platform lakini pia muuzaji yaani msanii.
Diamond mjanja sana mf ata darasa akitoa ngoma kali akaweka pale wasafi diamond anakula zake na darasa zake
 
Back
Top Bottom