Imawezekana beberu kasha tembezewa mlungula kutoka kodi za watu wanyika!Habari ya usiku huu.
Kawaida kila siku lazima nitembelee kidogo twitter kuona mambo mbali mbali ya duniani huko.
Lakini leo hata kwa VPN haiendi hata kidogo je ni kwangu tu au na wengine mnapata hii shida