youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni:
Unatakiwa kupunguza tamaa na kujifunza taratibu ili uweze kufanikiwa kupata kazi katika hizi platforms
Dm iko wazi kwa ushauri
- Upwork: Hii ni platform maarufu duniani kwa freelance jobs. Inakupa nafasi ya kuchagua kazi kulingana na ujuzi wako kama vile kuandika, kutafsiri, kufanya graphic design, web development na zaidi. Ni muhimu kuwa na profile ya kuvutia ili kuvutia wateja zaidi.
- Fiverr: Platform hii inakuwezesha kuuza huduma zako kuanzia bei ya chini kabisa, $5. Inatumika sana kwa huduma za kuandika, kutengeneza video, au kuunda logo. Pia, inaruhusu kujenga portfolio yako taratibu.
Unatakiwa kupunguza tamaa na kujifunza taratibu ili uweze kufanikiwa kupata kazi katika hizi platforms
Dm iko wazi kwa ushauri