Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,319
Reaction score
3,097
Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni:

  • Upwork: Hii ni platform maarufu duniani kwa freelance jobs. Inakupa nafasi ya kuchagua kazi kulingana na ujuzi wako kama vile kuandika, kutafsiri, kufanya graphic design, web development na zaidi. Ni muhimu kuwa na profile ya kuvutia ili kuvutia wateja zaidi.

  • Fiverr: Platform hii inakuwezesha kuuza huduma zako kuanzia bei ya chini kabisa, $5. Inatumika sana kwa huduma za kuandika, kutengeneza video, au kuunda logo. Pia, inaruhusu kujenga portfolio yako taratibu.


Unatakiwa kupunguza tamaa na kujifunza taratibu ili uweze kufanikiwa kupata kazi katika hizi platforms
Dm iko wazi kwa ushauri
 
Mkuu kajifunza kwanza kuandika!
 
Ndio maana mnaishia kuwa masikini watu wanaleta fursa ya kazi we unawaza kuoa na kuambatona. Wavaa makobazi shikamooni
 
Kote huko nimeshajiandikisha, Upwork, Fiverr, Fleerancer, Appen. Ila kupata kazi inahitajika uvumilivui na kuweka muda wako.

Unaweza ukajiwekea labda weekend nzima usiingie social network zingine zozote, wewe concentrate na hizi platform, nakuhakikishia utatoboa.
 
Vipi mkuu ushauri ni Bure au vipi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…