Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ni zile ulizotafuta kwa jasho lakoKila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
Shida zimetuzidiUkimuona mtu anaenda kukopa kwenye hizo taasisi za kifedha zenye riba kubwa kupitiliza, badala ya benki! Tambua fika huyo mtu ana upungufu wa akili kichwani.
Kwanza siku hizi watumishi wamerahisishiwa sana njia ya kukopa kupitia E Loan! Na benki zote zinajitokeza ukiingia kwenye huo mfumo, na pia riba zimewekwa! Sasa huko Platinum, Bayport, Maboto, sijui Fanikiwa, nk. Mnafuta nini tena, kama siyo uwendawazimu huu!!
Sema shida inekuzidi sio zimetuzidi, usafanye walimu wote waonekane kama weweShida zimetuzidi
Tumia akili vizuri, huko ni kujiongezea shida zaidi. Mwisho wa siku unapokea mshahara ambao hata mboga hautoshi then unaanza kuchukia kazi.Shida zimetuzidi
Una salary advance kila mwezi!! Hizo shida ni za aina gani, kama siyo kujiendekeza tu!!Shida zimetuzidi
Uwezo mdogo wa kuwazaUna salary advance kila mwezi!! Hizo shida ni za aina gani, kama siyo kujiendekeza tu!!