KERO Platinum Credit wananizungusha kunipa barua yangu ya settlement nifunge mkopo wao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

joahphina

New Member
Joined
Aug 28, 2026
Posts
2
Reaction score
3
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.

Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.

Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.

Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.

Naomba mwenye uzoefu:

Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?

BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?

Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?

Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.

Naomba ushauri wa hatua sahihi.
 
Hivyo, vibenki huwa vinasumbua sana usipowashitaki tuu utaendelea kulipa.
 
Wasumbue mara nyingi watakuhudumia.Hao viumbe ni hatari mnoo!Wasumbue tena na tena.
 
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.

Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.

Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.

Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.

Naomba mwenye uzoefu:

Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?

BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?

Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?

Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.

Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Aaah duh! We jamaa umenikumbusha hao jamaa walinifanya nikaishi kindez ushauri mi nilitaka kuwachomea b.o.t ndyo wakalainika kunipa barua
 
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.

Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.

Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.

Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.

Naomba mwenye uzoefu:

Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?

BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?

Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?

Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.

Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Bro nenda mahakamani kama una records zote za malipo no matter kama debt settlement letter huna. Hakikisha kuwa una bank statements zote za kipindi ambacho mkopo wako ulianza kukatwa kwenye mshahara wako. Hii case utashinda na watakulipa fidia ya usumbufu. Ukikutana na changamoto yoyote nitafute
 
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.

Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.

Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.

Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.

Naomba mwenye uzoefu:

Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?

BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?

Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?

Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.

Naomba ushauri wa hatua sahihi.
WApeleke Takukuru ni chapuu tuu wanakupaa tena watakuletea ulipo
 
Hiyo kitu na ile inayoitwa Bayport acha kabisa. Ukiingia kwenye 18 zao watahakikisha huji kuwasahau maisha yako yote. Limkopo walilokubambika kwa kutokuelewa riba zao mpaka liishe ndiyo wanakuachia.

Kosa lingine kwao ni pale utakapo jaribu kutop up! Hapo utakutana na deni kubwa balaa. Kwa upande wangu niliwashuhudia jamaa zangu wawili enzi hizo wakiacha kazi kutokana na mikopo ya hizi taasisi mbili. Kipindi hicho kulikuwa hakuna 1/3 ya basic salary! Kuna watu walijikuta wanapokea elfu 50 tu kwa mwezi!

Pole sana mtoa mada.
 
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.

Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.

Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.

Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.

Naomba mwenye uzoefu:

Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?

BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?

Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?

Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.

Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Subiri hiyo tarehe 16 watakupa
Kwa nini ulikopa Platnum kwenye riba 42% wakati kuna benki zina 15%?
 
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.

Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.

Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.

Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.

Naomba mwenye uzoefu:

Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?

BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?

Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?

Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.

Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Toa taarifa BOT kwa barua, pia fungua kesi.
Lakini nyie WaTz acheni upuuzi hivi unaendaje kukopa kwenye vitaasisi vya kitapeli kama Platnuz, Bayport nk unaacha kwenda bank rasmi kama NMB CRDB NBC Postal nk
 
Back
Top Bottom