Wasumbue mara nyingi watakuhudumia.Hao viumbe ni hatari mnoo!Wasumbue tena na tena.Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.
Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.
Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.
Naomba mwenye uzoefu:
Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?
BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?
Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?
Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.
Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Aaah duh! We jamaa umenikumbusha hao jamaa walinifanya nikaishi kindez ushauri mi nilitaka kuwachomea b.o.t ndyo wakalainika kunipa baruaWakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.
Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.
Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.
Naomba mwenye uzoefu:
Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?
BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?
Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?
Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.
Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Changamoto za maisha huwafanya watu wajiingize sehemu hatari kuliko jehanamu.Hao wanautofauti gani na kausha damu?!
Bro nenda mahakamani kama una records zote za malipo no matter kama debt settlement letter huna. Hakikisha kuwa una bank statements zote za kipindi ambacho mkopo wako ulianza kukatwa kwenye mshahara wako. Hii case utashinda na watakulipa fidia ya usumbufu. Ukikutana na changamoto yoyote nitafuteWakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.
Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.
Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.
Naomba mwenye uzoefu:
Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?
BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?
Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?
Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.
Naomba ushauri wa hatua sahihi.
WApeleke Takukuru ni chapuu tuu wanakupaa tena watakuletea ulipoWakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.
Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.
Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.
Naomba mwenye uzoefu:
Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?
BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?
Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?
Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.
Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Ni kweli mkuu.Changamoto za maisha huwafanya watu wajiingize sehemu hatari kuliko jehanamu.
Subiri hiyo tarehe 16 watakupaWakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu.
Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.
Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.
Naomba mwenye uzoefu:
Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?
BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?
Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?
Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa.
Naomba ushauri wa hatua sahihi.
Toa taarifa BOT kwa barua, pia fungua kesi.Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.