Platnum Member K Matata....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
I might seem crazy for what am about to say....

Heheheheheeee wooooyooooo....

Naanza na cheko kubwaaa na kelee miingiiii aahahhahaahahaaaaa looh, ngoja nijaribu kuwa mtulivu na mpole kama hulka yangu ilivyo tofauti na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakiniambia niko mjanja mjanja, mtundu, mchokozi eehehehheeee ila Matata ya Kinyamwezi haya ya kuzaliwa nayo sibishi japo niko kabishi bishi ka chinichini aahahahahahaa.

Wapendwa natumai jumapili yenu iko tulivu kama mlivyopanga, kwa ambao inaenda ndivyo sivyo poleni.

Leo baada ya mning'inio wa jana kuisha wakati napata stafutahi japo tayari ilishagonga jua la upenuni, nikasema ngoja nijichungulie ID yangu ya JF. Mara nyingi huwa nachungulia avatar za watu na kuzizoom, sasa leo sijui nini kimenituma bana, nikajichungulia ID yangu aahamadiii nakutana na Kasie Platnum Member wuuuhuuuhhh nikajikuta napiga keleee kama niko club na sauti yangu iliyokauka aahahahhaaaa yaani nimefurahi na kupatwa na mshangao.....

Kipindi cha nyuma nilisikia ukitaka kupata U- Platnum Member basi inabidi ulipie, sikuwahi kufanya hivyo. Sasa leo ndo najiona niko Platnum Member yaani AM SO EXITED!!!

Hadi sasa sijajua aliyenilipia huu u-Platinum member ni nani au ni uongozi wa JF chini ya Mkuu Maxence Melo ndo umenizawadia hata sifahamu, na sijui lini haswa nilitunukiwa huo u-Platinum.

Kwa uzi huu naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa moyo wa upendo na Mahaba tele, AKHSANTE SANA KWA ALIYESABABISHA NIKAPATA U-PLATINUM MEMBER.

IT'S NOT A BIG DEAL BUT IT ADD A BIG SMILE TO ME AND MEANS A LOT....







Am so Happy, Happy, Happy, Happy....

Najua wengine wataona kelele na usumbufu na kusema najaza seva za JF, jamani kwenye seva zake yuko kimyaaa hajalalamika hata siku moja, sana sana tunampa kufikiri vipi aongeze ukubwa wa seva za JF eheheeheheee, ila kwangu mimi ni tuzo ya kushangilia na kupiga kelele aka shout out.

Kuna mtu aliniambiaga, wee Kasie wewe, akili zako unazijua mwenyewe eeheheheheheee natumai akipita hapa atatabasamu tuu aahahahahaa.

Na sababu nilipata uplatinamu bila kupata notification basi naamini aliyesababisha hakutaka kujulikana, ila huko uliko, have a cheers from Kasie, a Teddy Bear Hug, a Palm and chicks Kiss, you deserve a day out with Kasie....

I laaab yuuuuu, mmmuuuah!!!

Matata Kasinde.
 
Ukiwa platinum member unapata hela? Maana umefurahi utafikiri tumekabidhiwa ndege na mkulima.

Hahahahahhaaaa siko tajiri au milionea ila pesa nnayo na siko kwenye hali ya kulipwa kwa kushukuru kitu flani.

Ni moyo tuu umebubujikwa na furaha, moyo wa shukrani, moyo wa upendo, moyo wa mahabat hehehehehhehee.

Furaha yangu hailetwi na hela japo nazitafuta na nazipenda.

K' Mahaba Matata.
 
Nimekuelewa sana, endelea kufurahi maana maisha yenyewe ndio haya haya.

 
Mkuu nataka niwe platinum member inakuaje hapo embu nieleze

Hehehehehee mwenzio nimekuwa suprised, ila sijui kama kale kautaratibu bado kapo ka kulipia kiasi kadhaa kisha unakuwa platinum member.
Kila la kheri.
 
Mimi nataka niungwe jukwaa la wakubwa huo uplatnum member sina habari nao

Eehehheheheee kila la kheri, kuna members wa huko watakueleza namna ya kujiunga. Kwa ukubwa nilionao kiumri, hilo jukwaa nikiingia naona ntazidi kuzeeka, na nnavyopenda Mahaba sasa,napambana na kuukemea uzee eehehehehe.
Platinum Members oyeeeeee....eehehehehee.

Matata K.
 
Congrats
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…