Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #41
Uwiiii mwenye huruma zake anilipie na mieeeeee. Oppsss ntazimia kama huyu mremboView attachment 1195261
Aahahahahhaaa Numbisa hii ni hatari, kama kuvikwa pete tuu anazimia akisainishwa like cheti cha kufanya na kuzikana hakuna kuchomoka hadi kifo si harusi itageuka kuwa msiba.....!!?? Eehehehehhee
Na mshindo je!!?? Ataweza kuuvumilia??!
Hii sio dalili mzuri, inatakiwa unakuwa sapraizidi lakini uko makini kishuhudia kama masapraizi yameisha au yanaendelea.... Heheheheheheh.