Platnum Member K Matata....

Mm ID yako wakati inabadilika na kuwa platinum diamond member Niliona ni kutoka kwenye kale ka uzi kanakohusu jamaa aliyeshindwa kuhack jf nilipoona tu CEO kalike comment yako nikajua hapa vitu vinaenda badilika kwa hiyo nahitimisha kwa kusema hivi aliyekupa hiyo platinum member ni ............................. asante sana 😂😂😂😂
 
Haha hivi wakuu hivi vyeo hutolewa kwa kuangalia nini zaidi...???
 
Dada K hakuna cha bure siku hizi, wee jiandae tu. Unadhani umepewa bure?
 
Dada K hakuna cha bure siku hizi, wee jiandae tu. Unadhani umepewa bure?


Yaaalaaah, usiniambie kuna kulipia.....!!

Hehehehehehee haina shida, itabidi tukae meza moja na aliyenitunuku kwanza tuwekane sawa kabla ya muda wa malipo hehehehee.

Always hakuna Matata with K Matata.
 
Usihof bibie huu ni mwanzo wa mahaba yangu kwako ntakupa had u president ni wewe tu furah furah bibie


BY SPONSOR
 
Usihof bibie huu ni mwanzo wa mahaba yangu kwako ntakupa had u president ni wewe tu furah furah bibie


BY SPONSOR


Aahahahahhaaa looh u president tena aahahahahahaa
Mie nipe u first lady tuu unanitosha, Dadii wangu ni zaidi ya Raisi eehehehehheee.

Matata K.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…