Platnum Member K Matata....

Uwiiii mwenye huruma zake anilipie na mieeeeee. Oppsss ntazimia kama huyu mremboView attachment 1195261


Aahahahahhaaa Numbisa hii ni hatari, kama kuvikwa pete tuu anazimia akisainishwa like cheti cha kufanya na kuzikana hakuna kuchomoka hadi kifo si harusi itageuka kuwa msiba.....!!?? Eehehehehhee

Na mshindo je!!?? Ataweza kuuvumilia??!

Hii sio dalili mzuri, inatakiwa unakuwa sapraizidi lakini uko makini kishuhudia kama masapraizi yameisha au yanaendelea.... Heheheheheheh.
 
So now umekua mke wa diamond platnumz

Aahahahhahahaaaa f*ck yuuuu muone kwanzaa..... aakuuu mie ni mke wa Dadii.

Wakati bado nna mhemuko wa kupata U platinum member nikawaza, sijui niwaite platinum member wenzangu tugonge cheers wanikaribishe kwenye kundi....

Kutamu huku weewee, karibuuu aahahahhahaaa

Kasie Matata.
 
hongera sana mkuu, nakumbuka mm sk nmeshft kutoka senior kuwa expert nlifurah kinoma hahahah
 
Kasie bhana 😅
 
Hatari ikifika stage ya nguo nyeupe binti atapania sana
 
HV mumy hiv huwa zina maana gani, naona wengine wameandikwa op, wengine except member wengine platinum.

Yaan naona mapicha picha sielewiiii

K mahabat ufafanuz pulliiiz
 
HV mumy hiv huwa zina maana gani, naona wengine wameandikwa op, wengine except member wengine platinum.

Yaan naona mapicha picha sielewiiii

K mahabat ufafanuz pulliiiz

Kiufupi ni stages za maisha hapa JF tangu unazaliwa JF au kujiunga unakuwa katoto new member kisha senior kisha expert kisha platfnum. Pia kuna verified user, kwa maelezo zaidi tafuta sheria za JF utakuta huko kila kitu.

Cheers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…