Hili Jukwaa halipo silioni kabisa mwaka wa kumi huu nipo huku wakati nimetamani kuingia likafutwa!!Eehehheheheee kila la kheri, kuna members wa huko watakueleza namna ya kujiunga. Kwa ukubwa nilionao kiumri, hilo jukwaa nikiingia naona ntazidi kuzeeka, na nnavyopenda Mahaba sasa,napambana na kuukemea uzee eehehehehe.
Platinum Members oyeeeeee....eehehehehee.
Matata K.
We ni don. Kontaun.
Kasie kuna ka mihadarati unatumiaga.
Uongo?
Hii si fair yaani muhenga kama ww umebaki kuwa expert member tu.
Hahahah....mi nilikuwa najua topic hii...ile nyingine achana nayo si ishaisha kule kule Kasie?Aahahahahahhaaaa watuuu stop being shaggy and it wasn't me banaa, ehehehehehheeee
Do you know what I asked about...??