Platnum Member K Matata....

Platnum Member K Matata....

So kuna mahusiano gani kati yako wewe na melo ?
Aahahahahaaa daaah.... It has come to this point... Oooh my..!!

Nothing, nothing at all...

No relationship nehii...

Melo is more than a brother, a friend, a companion... That's all.

Baba Swaleheeee aahaahhahahaaaa niendelee ama nisiendelee......

Matata K.
 
Aahahahahaaa daaah.... It has come to this point... Oooh my..!!

Nothing, nothing at all...

No relationship nehii...

Melo is more than a brother, a friend, a companion... That's all.

Baba Swaleheeee aahaahhahahaaaa niendelee ama nisiendelee......

Matata K.
Sasa kwa nini mimi sipewi u platinum
 
Kwani ni yeye ndo amenipa u platinum?

I have no idea, why me, why not you, why not others... it was a suprise to me...and I appreciate by using this thread.

Do you want some...?!
Hapana huu ni uonevu 😅😅
 
I might seem crazy for what am about to say....

Heheheheheeee wooooyooooo....

Naanza na cheko kubwaaa na kelee miingiiii aahahhahaahahaaaaa looh, ngoja nijaribu kuwa mtulivu na mpole kama hulka yangu ilivyo tofauti na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakiniambia niko mjanja mjanja, mtundu, mchokozi eehehehheeee ila Matata ya Kinyamwezi haya ya kuzaliwa nayo sibishi japo niko kabishi bishi ka chinichini aahahahahahaa.

Wapendwa natumai jumapili yenu iko tulivu kama mlivyopanga, kwa ambao inaenda ndivyo sivyo poleni.

Leo baada ya mning'inio wa jana kuisha wakati napata stafutahi japo tayari ilishagonga jua la upenuni, nikasema ngoja nijichungulie ID yangu ya JF. Mara nyingi huwa nachungulia avatar za watu na kuzizoom, sasa leo sijui nini kimenituma bana, nikajichungulia ID yangu aahamadiii nakutana na Kasie Platnum Member wuuuhuuuhhh nikajikuta napiga keleee kama niko club na sauti yangu iliyokauka aahahahhaaaa yaani nimefurahi na kupatwa na mshangao.....

Kipindi cha nyuma nilisikia ukitaka kupata U- Platnum Member basi inabidi ulipie, sikuwahi kufanya hivyo. Sasa leo ndo najiona niko Platnum Member yaani AM SO EXITED!!!

Hadi sasa sijajua aliyenilipia huu u-Platinum member ni nani au ni uongozi wa JF chini ya Mkuu Maxence Melo ndo umenizawadia hata sifahamu, na sijui lini haswa nilitunukiwa huo u-Platinum.

Kwa uzi huu naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa moyo wa upendo na Mahaba tele, AKHSANTE SANA KWA ALIYESABABISHA NIKAPATA U-PLATINUM MEMBER.

IT'S NOT A BIG DEAL BUT IT ADD A BIG SMILE TO ME AND MEANS A LOT....

View attachment 1194969

View attachment 1194970




Am so Happy, Happy, Happy, Happy....

Najua wengine wataona kelele na usumbufu na kusema najaza seva za JF, jamani kwenye seva zake yuko kimyaaa hajalalamika hata siku moja, sana sana tunampa kufikiri vipi aongeze ukubwa wa seva za JF eheheeheheee, ila kwangu mimi ni tuzo ya kushangilia na kupiga kelele aka shout out.

Kuna mtu aliniambiaga, wee Kasie wewe, akili zako unazijua mwenyewe eeheheheheheee natumai akipita hapa atatabasamu tuu aahahahahaa.

Na sababu nilipata uplatinamu bila kupata notification basi naamini aliyesababisha hakutaka kujulikana, ila huko uliko, have a cheers from Kasie, a Teddy Bear Hug, a Palm and chicks Kiss, you deserve a day out with Kasie....

I laaab yuuuuu, mmmuuuah!!!

Matata Kasinde.

Hahaha
 
Back
Top Bottom