Ukweli mtupuDiamond anampenda zaidi Harmonize. Japo anajaribu kuwapa upendo sawa wengine pia. Labda sababu ni Mtoto wa Kwanza.
Harmonize ndio mwenye mafanikio makubwa kifedha kuliko wengine.
Na Rayvanny ndio mwenye mafanikio makubwa Kimuziki kuliko wengine.
[HASHTAG]#Facts[/HASHTAG]
Kama anaingiza ma milioni tatizo nini?Yule kimbelembele ndio maana alikula mpaka makombo ya Dimond ili wawe sawasawa
Itakuwa wabovu wa macho hawa.Hawamwoni Rich kama yuko karibu na mkulu kwa sasaMbona na mavoco hakosi
Hahahaha mkuuu swali lako ngumu kujibu.Kwahiyo ulitaka kumanisha ninin?