Platnumz +harmonize

Platnumz +harmonize

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
Hawajama wako so close kuliko tunavyofikiria ..hakuna video hata moja ya mond ambayo hayumo harmonize .. nikijana pendwa kwa boss wake ... wale wenye ndoto ya konde Boy kutoka wcb imekula kwenu...
 
Diamond anampenda zaidi Harmonize. Japo anajaribu kuwapa upendo sawa wengine pia. Labda sababu ni Mtoto wa Kwanza.

Harmonize ndio mwenye mafanikio makubwa kifedha kuliko wengine.
Na Rayvanny ndio mwenye mafanikio makubwa Kimuziki kuliko wengine.

[HASHTAG]#Facts[/HASHTAG]
 
Mwingine alikuwemo pia..
Mwingine alikuwa bizi kikazi hakusafiri kwenda nao UK.
 
harmo kazidi kumfata fata boss wake mpaka mav.zini!!!
yani everywhere mpaka kero
kila anachofanya diamond na yeye yumo.
jamaa ni rappa wa diamond , sio free musician
kiasi kwamba kama kuna mtu atategemea jipya kutoka kwa harmonize atangoja sana....

rich mavoko na Rayvany watu wazima wana familia zao hawana muda wa kufatana fatana na diamond ,labda wawe na video
 
Yule kimbelembele ndio maana alikula mpaka makombo ya Dimond ili wawe sawasawa
 
Diamond anampenda zaidi Harmonize. Japo anajaribu kuwapa upendo sawa wengine pia. Labda sababu ni Mtoto wa Kwanza.

Harmonize ndio mwenye mafanikio makubwa kifedha kuliko wengine.
Na Rayvanny ndio mwenye mafanikio makubwa Kimuziki kuliko wengine.

[HASHTAG]#Facts[/HASHTAG]
Ukweli mtupu
 
Mwacheni awe karibu naye unajua Harmo ndiyo msanii ambaye Dee kamtengeneza mwenyewe tofauti na Hao wengine Dai kawachukua washaanza mziki,Mwacheni ajidai naye.
 
Back
Top Bottom