Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Hivi elimu ya ampiga kura inatosha kabisa kumwezesha mtu kupigiwa kura? Mimi naona kama waAfrika wengi demokrasia ipo lakini wananchi Hawana uelewa wa serikali na kwanini wanachagua viongozi.
Wewe unaona je? Plato alisema huwezi kachagua mtu yoyote tu kwenda kuamua kuhusu Maisha ya watu. Labda wasomi tu wachaguane kuwa kiongozi.
Wewe unaona je? Plato alisema huwezi kachagua mtu yoyote tu kwenda kuamua kuhusu Maisha ya watu. Labda wasomi tu wachaguane kuwa kiongozi.