nimekuja ole wako uishie kati
huyu Jeff tabia zake kama zako
mpk saa 2 usiku mbaliiiiiHahaha, unakiraru-raru, Sibiri saa mbili sio mbali
picha ya Jeff kama namuona stunter yuko apa mbeleHahaha,,, Jeff nyota yake kali sana, jamaa anapata mazali ya uhakika
Hayaa tuko pamoja.Chekshia mziki huo, Hapo ndo tutaona huo msala atauepukaje?
Itakua poa maana mida hii inabana na majukumu..Hahaha, unakiraru-raru, Sibiri saa mbili sio mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu Jeff tabia zake kama zako