Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba alikuwaga SwanseaMichu
Huyu mwamba amecheza kwa kiwango chake cha juu muda mfupi sanaHuyu alikuwa zaidi ya MESS,bahati mbaya kipaji chake kiliishia huku kikiwa ndio kinaanza.
Ronaldinho Gaúcho
Yes halafu Kakuta si ndo yule anayechezea DRCGael kakuta, Charlie musonda hawa walikuwa hatari mnoo
Kaka kama uliwahi kumuona Uncle Thom akiwa kwenye ubora wake usingeweza kusema wa kawaida , NOHapo ulipotaja ,wachezaji daraja la juu ni neymar,baloteli na qwaresma. Wengine wa kawaida sana.
Huyu ndo mfano mzuri wa one season wonderMichu
Alirudi kumalizia soka kwao Argentina akiwa kwenye ubora alisusia call up ya national team kipindi cha kocha Maradona,Kuna Muargentina anaitwa Roman Riqueme. Alikuwa fundi kweli kweli, kaishia Kuzurula tu Barcelona na mara ya mwisho alikuwa Villarrealy
Sawa sawa, kiungo maridadiAlirudi kumalizia soka kwao Argentina akiwa kwenye ubora alisusia call up ya national team kipindi cha kocha Maradona,
Kwa Redondo na Veron nadhan kuhama kwenda Milan na Man utd iliwarudisha nyuma kwa namna flanRedondo na Veron hawastahili kuwemo kwenye hiyo list.
Elias maguli,castor mumbara,mbonde,hasselbank,gianfranco zola,Mark vidukaBinafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine?
Kwa mtazamo wangu wafuatao ni miongon mwa wachezaj wanaoangukia kwenye kundi hilo.
1.JACK WILSHERE Changamoto za majeraha ya mara kwa mara ilikuwa chanzo kikubwa cha kumpoteza kwenye raman ya soka kiungo fundi kabisa wa kiingereza aliwah kuitwa jina la utani Jack Wheelchair, usiku mmoja pale Emirate aliwatia mfukoni Xavi na Iniesta na kuisaidia kuiibua Arsenal na ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona. Pia anakumbukwa kwa kufunga the "best tik tak goal ever" dhidi ya Norwich 2013(kalione you tube)
2. PAUL POGBA Yes ameshinda kombe la dunia akiwa na les blues 2018 ila ni mambo machche unayoweza kumpamba nayo kama mafanikio yake binafsi kwa umri wake na mwenendo wa mambo ya nje ya uwanja ni ngumu kutabiri kama tutamuona kwenye level za juu tena
3. RICARDO QUARESMA Kama uliwahi kuupenda mpira uliwahi kumpenda Quaresma huyu mtu hahitaji utambulisho mwingi,he was simply the best.
Kama nakumbuka vizuri ni mtu wa kwanza kumuona akipiga Rabbona
4 ABOU DIABY Mwamba kabisa huyu pengine ni miongon mwa wale wachezaj wasiotabirika sana kwa kiwango uwanjan ila siku akiamka vzr utafurahi na roho yako 😀😀
5.THOMAS ROSICKY Ushawahi kumuona Uncle Tom akisakata kabumbu kwenye ubora wake?
Duh nyakati zimeenda wapi?
Siwezi kumuelezea huyu mtu mchawi mdogo "little mozart"
6 THIAGO ALCANTARA Matarajio makubwa kwa kijana wa La Masia kuvaa viatu vya Xavi yalianza kufifishwa zaid na majeraha ya mara kwa mara bahati nzuri ni kuwa ana kumbukumbu ya ubingwa wa UEFA akiwa Bayern.
7 BALOTELLI - Mourinho aliwahi kusema akiwa Inter usiku mmoja wa UEFA wakiwa Kazan alitumia dkk takriban 10 kumuasa Balotelli asipate red card maana mafowad wake wote Etoo na Millito walikuwa injury kilichofuata dkk 46 mwamba akachezea second yellow na red pia , ni dhahiri kipaji chake kilifichwa na mwenendo wa matendo yake yasiyopendeza ndan na nje ya uwanja kaangalie YouTube akipiga kisigino na mpira kwenda nje karibu na lango la LA galaxy 😀
8 NEYMAR Yes ni miongon mwa wachezaj bora kwa miaka ya karibuni ingawa tuzo na mafanikio binafsi yanapingana na hilo huenda wakati wake bora zaid ni ule aiitumikia Barcelona na kubeba UEFA mbele ya vibibi kizee vya Turin Juventus 2015 majeraha na kiwango kisichotabirika vimeonekana kuanza kumtoa kwenye raman taratibu.
9 BOJAN KIRKIC ; La Masia wonderkid who dissapeared in thin air.
10 MACHEDA anakumbukwa zaid kwenye mechi ya Man utd vs Aston Villa ambapo alitokea benchi na kufunga magoli mawili na kuisaidia Man u kuibuka na ushindi wa goli 3 kwa 2 dhidi ya Villa dume kabisa kuwahi kutokea ya kina Barry, John Carew, Petrov, Aghbanlahor,Young.
HONOURABLE MENTIONS ARSHAVIN, ROBINHO, PODOLSKI, VERON, REDONDO,JANUZAJ
MY TAKE" UJIO WA MBINU ZA KISASA KWENYE UFUNDISHAJI WA SOKA (SOKA LA MAABARA) LIMECHANGIA KWA KIAS FULAN KUWATOA KWENYE RAMAN WACHEZAJI WENYE VIPAJI HALISI NA VYA KUBURUDISHA KAMA NILIOWATAJA HAPO JUU".
LET ME KNOW YOUR THOUGHTS.
Bila kumtaja fundi wa BOLI Toka Newcastle sidhani kama nitakuelewa .....si mwingine bali ni Hatem Ben Arfa.Binafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine?

Ahsante sana nakubaliBila kumtaja fundi wa BOLI Toka Newcastle sidhani kama nitakuelewa .....si mwingine bali ni Hatem Ben Arfa.
Hapa utagundua sababu mojawapo inayowanya wachezaj wafeli ktk carrier yao ni kuhama timu moja kwenda nyingine hapa utawaingiza wengi kama Torres, Arda Turan, Hazard,Redondo , Veron, Pedro,Swansteiger.Arda Turan alizima ghafla Sana wakati gari lilikuwa limeshawaka pale Atletico de Madrid