Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wakati ule Italia ilisheheni wachezaji hodari sana ktk nafasi ya zola,mf.pipo inzaghi,Roberto Baggio hivyo haikuwa rahisi kufua dafu.Kwa Zola unaweza kusema ni bahati mbaya Chelsea ya kipindi kile haikumpa platform ya kutosha ila kwa yeye binafsi alipeform ktk level ya juu na by then hakuwa anapata call ya timu ya taifa niliwah kusikia kuna kipindi Italia ukicheza nje ya taifa lao hauitwi national team ila am not sure
Niliyem-quote.Kama wakina nani hao watu?
Hata Chelsea Zola alipiga mpira mwingi bahati mbaya Chelsea ya wakati huo haikuwa nzuri. Kabla ya hapo alicheza kwa mafanikio makubwa kwenye klabu ya Palma ya Italia. Combination yake na Faustino Asprilla ilikuwa balaa.Kwa Zola unaweza kusema ni bahati mbaya Chelsea ya kipindi kile haikumpa platform ya kutosha ila kwa yeye binafsi alipeform ktk level ya juu na by then hakuwa anapata call ya timu ya taifa niliwah kusikia kuna kipindi Italia ukicheza nje ya taifa lao hauitwi national team ila am not sure
Sawa bwana mdogo.Niliyem-quote.