Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Home sweet home wakati hapakuridhishi?
Au ndio mapenzi ya kinafiki?
Lizzy wakishawaka tamaa huwa wanasahau kushirikisha ubongo juu ya impact yake, matokeo ndo majuto mjukuu...
I love it when cheaterz get busted! Sijui kwanini watu wanakua na tamaa za ajabu..
cheaters wanaiita hiyo ajali kazini, kutake risk ya kufumaniwa ndo inawapa mshawasha,
I love it when cheaters get busted! Sijui kwanini watu wanakua na tamaa za ajabu..
Na mitaanni nako cheaters wanapata fertile ground.....
wakinadada wanashawishi kweli kweli, kushinda majaribu inataka moyo wa ziada.
wengi hawajui mpaka wakishavipoteza walivokua navo ndio wanakuja kushtuka too lateCheating is like playing with fire,
Utajisikiaje ikitokea siku unajiona unakufa hivi hivi au unapoteza chochote kile ambacho umehangaika sana kukipata kisa tu ulishindwa kutulia na mwanaume/mwanamke wako?
na hata ukisamehewa guilt itakua inakutafuna taratiiiiiiiiibu ndani na utakosa amani mda wotekwanza kufumaniwa kutakopelekea uhusiano wenu kuvunjika,saa zote utakuwa na wasiwasi lisibumburuke,utakua mtumwa hasa kwa wale wenye ndoa zao ili siri isifike kwa 'their spouse 'magonjwa ya zinaa
Cheating is like playing with fire, yani someone is bound to.get burnt at some point or another.
Waweza jikuta unapoteza ndoa yako, watoto, heshima kama uliwahi kuwa nayo,mali, kiungo/viungo au hata maisha.
Wale/nyie vinara wakutoka nje ya ndoa na mahusiano yenu hivi hua mnafikiria na kujiandaa na haya??! Mmewahi kufikiria kua siku moja unaweza ukajikuta umepewa sumu, umepigwa mpaka kuvunjwa kiungo au hata kuchomwa kisu kisa kutembeza mwili wako kwa mtu/watu ambao wako nje ya mkataba/makubaliano ya mahusiano yako na mwenzi wako au kwa kuingilia mahusiano ya mtu mwingine?
Utajisikiaje ikitokea siku unajiona unakufa hivi hivi au unapoteza chochote kile ambacho umehangaika sana kukipata kisa tu ulishindwa kutulia na mwanaume/mwanamke wako?
Tulieni jamani, hivyo viungo vya mwili vitawaponza!!!!
kwanza uaminifu unapotea kabisa na hata akijirekebishaje bado nitamuona msaliti tuuuu............so hakuna faida zaidi ya hasara tupuwapendwa nini faida ya kucheat kwa mpenzi wako mim sioni faida zaidi ya hasara ,fungukeni
Wanaume hatucheat bali tunadumisha mila.yan tena ss iv haswa kwa wanaume ni kama sifa,asiyecheat anaonekana kilonzo kbs! huruma yao buree!