Playing with FIRE. . . .

Home sweet home wakati hapakuridhishi?
Au ndio mapenzi ya kinafiki?

kwan wewe ukitoka kijijini kwenu nakuja dar nakuishi kwa rafiki/ndugu/jamaa wenye nyumba nzuri, inakufanya usirudi kwenu kwenye ule MSONGE wa nyasi??
 
cheaters wanaiita hiyo ajali kazini, kutake risk ya kufumaniwa ndo inawapa mshawasha,
 
yan tena ss iv haswa kwa wanaume ni kama sifa,asiyecheat anaonekana kilonzo kbs! huruma yao buree!
 
I love it when cheaterz get busted! Sijui kwanini watu wanakua na tamaa za ajabu..
 
I love it when cheaterz get busted! Sijui kwanini watu wanakua na tamaa za ajabu..

Na mitaanni nako cheaters wanapata fertile ground.....
wakinadada wanashawishi kweli kweli, kushinda majaribu inataka moyo wa ziada.
 
wapendwa nini faida ya kucheat kwa mpenzi wako mim sioni faida zaidi ya hasara ,fungukeni
 
kwanza kufumaniwa kutakopelekea uhusiano wenu kuvunjika,saa zote utakuwa na wasiwasi lisibumburuke,utakua mtumwa hasa kwa wale wenye ndoa zao ili siri isifike kwa 'their spouse 'magonjwa ya zinaa
 
Na mitaanni nako cheaters wanapata fertile ground.....
wakinadada wanashawishi kweli kweli, kushinda majaribu inataka moyo wa ziada.

Hamkosagi excuses.. "She tempted me",
"it was the liquor" "Trust me, it was just the devil i wouldnt do it in my right mind!" n etc...etc. Daaaaah..
 
Cheating is like playing with fire,

Utajisikiaje ikitokea siku unajiona unakufa hivi hivi au unapoteza chochote kile ambacho umehangaika sana kukipata kisa tu ulishindwa kutulia na mwanaume/mwanamke wako?
wengi hawajui mpaka wakishavipoteza walivokua navo ndio wanakuja kushtuka too late
 
kwanza kufumaniwa kutakopelekea uhusiano wenu kuvunjika,saa zote utakuwa na wasiwasi lisibumburuke,utakua mtumwa hasa kwa wale wenye ndoa zao ili siri isifike kwa 'their spouse 'magonjwa ya zinaa
na hata ukisamehewa guilt itakua inakutafuna taratiiiiiiiiibu ndani na utakosa amani mda wote
 
Hii sredi naona inahusu wanawake.....

Wanaume huwa hatucheat bali tunadumisha mila.:sleepy:
 
Kwani matatizo hayo yanatokana na cheating tu au hata uwendawazimu uko kiasi gani kwenye kichwa cha mtu? Maana naona kama tatizo liko kwenye kichwa cha muhusika. Akipata mwanya wa kufanya analofanya ndo utakapomuona ana rangi za aina gani.
 
wapendwa nini faida ya kucheat kwa mpenzi wako mim sioni faida zaidi ya hasara ,fungukeni
kwanza uaminifu unapotea kabisa na hata akijirekebishaje bado nitamuona msaliti tuuuu............so hakuna faida zaidi ya hasara tupu
 
watu wanaocheat kwenye mahusiano wapo wa aina 2.
1. Ndio hulka zao
2. Wameshatendwa sasa nao wanafanya revange
ila mwisho siku zote huwa ni mbaya!
 
yan tena ss iv haswa kwa wanaume ni kama sifa,asiyecheat anaonekana kilonzo kbs! huruma yao buree!
Wanaume hatucheat bali tunadumisha mila.

Mwanaume mwenye mapenzi na mwanamke mmoja tu, ujue huyo ana matatizo.

Babu yangu aliwahi niambia usipotoka nje ya ndoa yako basi uje mkeo anatoka.... Gadem!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…