Playing with FIRE. . . .

Hellow to you all.

Minadhani watu wanaocheat kwenye mahusiano wapo wa aina 2.
1. Ndio hulka zao
2. Wameshatendwa sasa nao wanafanya revange
ila mwisho siku zote huwa ni mbaya!
 
98% ya wanaume wanatoka nje ya ndoa zao.........

Sasa mnataka kunambia wanatoka na madogi au na nyie kina mama?

Acheni uzushi bana, cheating is inevitable.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…