Playstation 6 kuja uzinduzi wa game mpya GTA 6

Playstation 6 kuja uzinduzi wa game mpya GTA 6

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wale wapenda game ni wasanue tu kuhusu mambo ya biashara yalivyo.

Makampuni yamekuwa konde boy sasa kila kukicha kuachia kitu kipya wabaki kushindana kwenye soko.

Nimefatilia kwenye mijadala ya teknolojia baada ya watu kusubiria GTA 6 inatoka 2025 na kutaarifiwa itatoka 2026 .

Kumbuka PS 5 ilitoka 12 November 2020.
Miaka mitano wameona upepo wa soko sasa wanataka kuja hardware nyengine ambayo itaweza kukizi uwezo mpya wa gemu nyingi mpya ambazo teknolojia hipo juu sana.

Ukifatilia game GTA 6 graphic na uwezo wa kutumia AI ndio utajua kwa nini wamepeleka mbele kuzinduliwa 2026.

PS 6 inatoka 2026
IMG_1356.jpeg
 
Back
Top Bottom