Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior

Mabeberu hupenda sana kuwabatiza wazalendo jina baya la dikteta ili kuweza kutimiza azma yao ya unyonyaji na unyang'anyi...
Huwezi ukawa na maendeleo duniani pasipo kushirikiana na mabeberu hata china imeendelezwa na mabeberu.
Wao ndo wanamiliki mifumo yote ya maendeleo kuanzia formula za uchumi, Pesa,masoko, technology,nk
 
Democracy ya USA, achana na trump ana element za kiafrica
Hahahaaaa, eti ana elements za kiafrica. Trump ana element za kiafrica kama nani? Mandela? Au unataka kusema Mandela pia ana elements za kizungu?
 
Huwa nashangaa sana mataifa ya magharibi yanapowachafua viongozi wa jamaa kama kina Castro.

Wakati wao wamefanya madhambi Mara mia ya kina Castro ..
Mfano king Leopold wa Congo
 
Huwezi ukawa na maendeleo duniani pasipo kushirikiana na mabeberu hata china imeendelezwa na mabeberu.
Wao ndo wanamiliki mifumo yote ya maendeleo kuanzia formula za uchumi, Pesa,masoko, technology,nk
Mkuu samahani.
Hivi familia yako unaendesha wewe ama umeoa jina tu analisha beberu?
 
A good communist is a dead one , always remember this , " Kill the communist even if your are related to him / her by blood "
 
Communists are a plague to the world
 
Jengo la Chimwaga Dodoma ambalo awali lilikua mali ya CCM lina underground na vyumba vya siri chini ya ardhi nadhan kwa kazi kama hizi.
Liligengwa Porini sana na katika mazingira ya kuohofya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…