Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Hapana mkuu silifahamuKaka unalifaham jengo la Chimwaga alilojojiwa Kolimba kabla ya....?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu silifahamuKaka unalifaham jengo la Chimwaga alilojojiwa Kolimba kabla ya....?
Hilo jengo limejengwa eneo la chimwaga Dodoma lijaonekana kwa mbali ukiwa dodoma mjini. Ni jengo lililojengwa porini sana na limejitenga na lina vyumba underground na ndo vilikua vinafanyika viakao nyeti vya Chama.Hapana mkuu silifahamu
Duuuh, sawa mkuu. Vikao nyeti vya chama?Hilo jengo limejengwa eneo la chimwaga Dodoma lijaonekana kwa mbali ukiwa dodoma mjini. Ni jengo lililojengwa porini sana na limejitenga na lina vyumba underground na ndo vilikua vinafanyika viakao nyeti vya Chama.
Hii mpya mkuuUliza wanaolijua jengo la Chimwaga Dodoma kabla halijakabidhiwa kwa UDOM lina underground za hatari...Kolimba nadhani alihojiwa huko
Hata akichapiwa mkewe na beberu ataona ni sawa kisa anapewa hela.Huyo jamaa anajipendekeza sana kwa wazungu/mabeberu
Hahahaaaaa.Hata akichapiwa mkewe na beberu ataona ni sawa kisa anapewa hela.
UDOM hii hii ninayoijua mimi mkuu?Hilo jengo limejengwa eneo la chimwaga Dodoma lijaonekana kwa mbali ukiwa dodoma mjini. Ni jengo lililojengwa porini sana na limejitenga na lina vyumba underground na ndo vilikua vinafanyika viakao nyeti vya Chama.
Kwa sasa linatumika kama ukumbi wa Chuo kikuu Dodoma UDOM
Nenda jengo la Chimwaga lililokua linatumiwa na ccm fanya uchunguzi.UDOM hii hii ninayoijua mimi mkuu?
Sawa mkuuNenda jengo la Chimwaga lililokua linatumiwa na ccm fanya uchunguzi.
Asante kwa ushauri wakoIts now Cuba's Home Affairs Ministry. It sounds better.
Sina uhakika na hizi tetesi mkuu.Jengo la Chimwaga Dodoma ambalo awali lilikua mali ya CCM lina underground na vyumba vya siri chini ya ardhi nadhan kwa kazi kama hizi.
Kafa na kuzikwa kwa staha kama mzalendo wa kweli wa taifa la Cuba.Alitesa na kuua wapinzani wake ila hatimaye na yeye kafa.
Kuna wapinzani ambao ni maadui wa taifa kumbukaAlitesa na kuua wapinzani wake ila hatimaye na yeye kafa.
Even the capitalists are a disaster to the world of the civilized communityCommunists are a plague to the world
Maneno ya hovyo sana haya mkuuA good communist is a dead one , always remember this , " Kill the communist even if your are related to him / her by blood "
Nasikia mabwepande nchini kigali - kampalaKwa bongo hapa iyo sehemu ni wapi?
Kampala ndio wapi?Nasikia mabwepande nchini kigali - kampala
Ume-subscribe kwani humu ni youtube?Nianze kwa kusema malahaba lakina unampindua mjomba sizonje maana anatuachaga na kiu makala zake hamalizagi mpaka ujiunge kwa grupu sasa nikuombe uwe unatoa episode 1 na 2 unamaliza , nime subscribe tayari