Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior

Hapana mkuu silifahamu
Hilo jengo limejengwa eneo la chimwaga Dodoma lijaonekana kwa mbali ukiwa dodoma mjini. Ni jengo lililojengwa porini sana na limejitenga na lina vyumba underground na ndo vilikua vinafanyika viakao nyeti vya Chama.

Kwa sasa linatumika kama ukumbi wa Chuo kikuu Dodoma UDOM.
 
Hilo jengo limejengwa eneo la chimwaga Dodoma lijaonekana kwa mbali ukiwa dodoma mjini. Ni jengo lililojengwa porini sana na limejitenga na lina vyumba underground na ndo vilikua vinafanyika viakao nyeti vya Chama.
Duuuh, sawa mkuu. Vikao nyeti vya chama?
 
Huyo jamaa anajipendekeza sana kwa wazungu/mabeberu
Hata akichapiwa mkewe na beberu ataona ni sawa kisa anapewa hela.

Hawa ndo watu wanaorudisha maendeleo ya mwafrika nyuma.

Kujipendekeza anadhani wazungu wanampenda!

Kaa kwenu tengeneza kwenu.
 
Hilo jengo limejengwa eneo la chimwaga Dodoma lijaonekana kwa mbali ukiwa dodoma mjini. Ni jengo lililojengwa porini sana na limejitenga na lina vyumba underground na ndo vilikua vinafanyika viakao nyeti vya Chama.
Kwa sasa linatumika kama ukumbi wa Chuo kikuu Dodoma UDOM
UDOM hii hii ninayoijua mimi mkuu?
 
Nianze kwa kusema malahaba lakina unampindua mjomba sizonje maana anatuachaga na kiu makala zake hamalizagi mpaka ujiunge kwa grupu sasa nikuombe uwe unatoa episode 1 na 2 unamaliza , nime subscribe tayari
 
Back
Top Bottom