Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Umempa za chembeManeno ya hovyo sana haya mkuu
Hahahahaaaaa kapokea dawa yake kudadekiUmempa za chembe
Dada acha kukariri maisha, subscription hufanywa katika mtandao wowote wa kijamii kama JF na sio YouTube peke yake.Ume-subscribe kwani humu ni youtube?
Raha kunogaUme-subscribe kwani humu ni youtube?
Huu uzi angesimulia The Bold ungependeza sana kuliko usimulizi wa kitoto wa Soja.Raha kunoga
Huo ni mji mkuu wa nchi ya BurundiKampala ndio wapi?
Kampala ipo Uganda chiefHuo ni mji mkuu wa nchi ya Burundi
Usipende kukatisha wenzio tamaa. Mbona jamaa anasimulia vizuri tuHuu uzi angesimulia The Bold ungependeza sana kuliko usimulizi wa kitoto wa Soja.
Yani ni raha mpaka kisogoniRaha kunoga
Duuuh, kwamba bongo ni mbinguni yaaaani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Bongo haina sehemu kama hizo
Tatizo wadada wengine wamezaliwa vijijini hii mitandao wameikuta huku town tuDada acha kukariri maisha, subscription hufanywa katika mtandao wowote wa kijamii kama JF na sio YouTube peke yake.
Watu wengine bila kuwatukana hawajisikii raha kabisaHahahahaaaaa kapokea dawa yake kudadeki
Angemmalizia na ngumi ya sikio ili iwe fundisho kwakeUmempa za chembe
Ungeumalizia mwisho alipomalizia sodger mwakani , acha ushabiki mpongeze mzarendo huyuHuu uzi angesimulia The Bold ungependeza sana kuliko usimulizi wa kitoto wa Soja.
Mmarekani ana wivuUngeumalizia mwisho alipomalizia sodger mwakani , acha ushabiki mpongeze mzarendo huyu
Acha kuchochea chuki. Himiza upendoAngemmalizia na ngumi ya sikio ili iwe fundisho kwake
Unaweza ukajibu bila matusi pia Chiku K. Jifunze lugha za staha zitakusaidia sana mbele za watuWatu wengine bila kuwatukana hawajisikii raha kabisa
Ushamba mzigo na hili ndio tatizo la kuvamia jiji la watuTatizo wadada wengine wamezaliwa vijijini hii mitandao wameikuta huku town tu
Kwani haiwezekani?Duuuh, kwamba bongo ni mbinguni yaaaani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Watu wanaombewa tuuu mambo yanaishaa