Jina langu kamili naitwa emanuel patrick meela. Nimefurahiswa sana na elimu ninayoipata jf habar, historia mbalimbali na mengineyo meng nimeipenda sana jf.nimekuja humu sitoki ngo nitakua nachangia kila mada kadri ya uwezo wangu.Niombacho ndugu tuwe na maadili tusipost uchochezi,matusi ,na yale yote yanayoleta mtazamo hasi kwenye jamii mungu awabariki.