Please advise

That ''dada'' menistua kidogo.....i.e jinsia mkuu unauhakika nayo?

hiyo mkuu mbona inajulikana hapa jukwaani ebu punguza mahudhurio kwenye siasa bana! LOL

Nikirudi kwenye mada kweli Bao3 zimekuwa bao kweli!

Kisheria huweyi kumchukua mtoto hadi atimize miaka 7. unatakiwa uwe unatoa matunzo tu ya mtoto kwa kipindi hiki kama IKITHIBITIKA mtoto ni WAKO.

Ulichofanya kinafanywa na wengi mkuu wala usitishike na makelele ya watu hapa jamvini wakitoka hapa ni watu wengine kabisa!

So take courage, kacheki DNA, kama ni wako mtunze hadi akiwa mkubwa mchukue kama huna mafeelings na mama mtoto
 
Hehehehe sasa NL huamini weka dau basi mimi nakuthibitishia niwekee bia 4 pale Ambiance nipitie nikanywe.

heheheheheh mkuu kuna kiota kingine kwa mbele mbele (Kwa remmy) hapo ambiance si ndo wanakaa wale wa 70,000/= kwa wiki?

NL mgeni humu niemmwambiaπŸ˜€
 
Hehehehe sasa NL huamini weka dau basi mimi nakuthibitishia niwekee bia 4 pale Ambiance nipitie nikanywe.

Hiyo mkuu umepata.....ukifika mcheki waiter anayelipa sana pale, atakuwa na maagizo kamili mkuu...ha!Ha!Hah!

hiyo mkuu mbona inajulikana hapa jukwaani ebu punguza mahudhurio kwenye siasa bana! LOL

Kumbe eeeh!

heheheheheh mkuu kuna kiota kingine kwa mbele mbele (Kwa remmy) hapo ambiance si ndo wanakaa wale wa 70,000/= kwa wiki?

NL mgeni humu niemmwambiaπŸ˜€

Duuh huku kumbe kuna wenyewe ...ha!ha!ha!ha!ha!ha!aaaaa!
 
Hiyo mkuu umepata.....ukifika mcheki waiter anayelipa sana pale, atakuwa na maagizo kamili mkuu...ha!Ha!Hah!

Pale namjua mmoja anaitwa Siwema......πŸ™„

Kumbe eeeh!

habari ndo iyo mkuu kule unaweza kupata presha sasa kama jana habari za zombe kuachiwa!

Duuh huku kumbe kuna wenyewe ...ha!ha!ha!ha!ha!ha!aaaaa!

LOL ndo wewe na mimi mkuu!
 
Mbona umeihijack thread yangu badala ya kuanzisha yako. Unamaana gani mdau mwenzangu?
 
Hi,

It all depends on you and the age of your daughter really. Are U interested in taking care of your daughter on your own? if yes then you should take her with you and bring her up yourself.
Mama KK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…