Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Hehehehe NL unaonaje mzazi?
That ''dada'' menistua kidogo.....i.e jinsia mkuu unauhakika nayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehe NL unaonaje mzazi?
That ''dada'' menistua kidogo.....i.e jinsia mkuu unauhakika nayo?
That ''dada'' menistua kidogo.....i.e jinsia mkuu unauhakika nayo?
Hehehehe sasa NL huamini weka dau basi mimi nakuthibitishia niwekee bia 4 pale Ambiance nipitie nikanywe.
Hahahahahahahahahahahahhahahha acha hizo wewe...
Hehehehe sasa NL huamini weka dau basi mimi nakuthibitishia niwekee bia 4 pale Ambiance nipitie nikanywe.
hiyo mkuu mbona inajulikana hapa jukwaani ebu punguza mahudhurio kwenye siasa bana! LOL
heheheheheh mkuu kuna kiota kingine kwa mbele mbele (Kwa remmy) hapo ambiance si ndo wanakaa wale wa 70,000/= kwa wiki?
NL mgeni humu niemmwambia😀
Hiyo mkuu umepata.....ukifika mcheki waiter anayelipa sana pale, atakuwa na maagizo kamili mkuu...ha!Ha!Hah!
Kumbe eeeh!
Duuh huku kumbe kuna wenyewe ...ha!ha!ha!ha!ha!ha!aaaaa!
Huyu jamaa hana maana kabisa hatakiwi kuchangiwa mchango wowote wa mawazo kwa hana huruma na hana hata staha yakuwa mwanaume.
Wakuu Oneni alivyomtesa huyu aliyezaa naye halafu anakuja kutafuta legal implication.
Habari wanabidii,
Napenda kutanguliza shukrani za dhati kwa yale yote mnayo changia kuhusu
maendeleo ya taifa na kushauri jamii pale inapokosea
Ningependa nianze kama ifuatavo,mimi ni mwanamke mwenye umri wa kiaka
29ninafanya kazi katika kampuni moja hapa Tz. Miaka minne iliyo pita
niilibahatika kupata rafiki wa kiume ambaye tulikuwa tunasoma wote
chuoni,alinipropose kuwa ananipenda na yupo tayari unioa wala cyo kwa
kunichezea nilikubali tukawa ni marafiki wa uchumba na tutakuwa tunaishi
kama mke na mume tunashirikiana kwa kila kitu.Wazaz wake /kaka/dada
walikuwa wanafaham hilo kuwa mdogo wao anamchumba wapo wote ,niilibahatika
kumuona mama yake /mama mkwe mtarajiwa tukiwa chuoni mara mbili tuuu,tena
alikuwa akipita naambiwa nimpelekee maziwa huwa anasumbuliwa na vidonda vya
tumbo.tuliendelea na urafiki wetu hadi tulipo maliza chuo nilikuwa
ninaujauzito wake tayari na tulikuwa tunasubiri kuitwa kwa kazi kwasababu
tulifanya na interview mapema tukiwa chuoni bado.nilimwambia kuwa mimi
nimmjamzito akakubali na akanambia nikawaambie home ili tufanye maandalizi
ya harusi.hapo ilikuwa ni mwaka 2007,niliwaambia home kama ujuavo wazaz
walikasirika sana kiac kwamba mdingi alipata na Presha kwa kuwa hakutarajia
kitu kama hicho ukizingatia mimi ni first born wake,mama alim please hadi
akatulia but alisema okay fine ,kama ameamua basi sawa tumwachie afanye
atakavo koz yeye siyo mtoto mdogo tena.Basi bwana mie nikamwambiamwenzangu
kuwa nisha waambia home ila kwakuwa nimepata ujauzito nikiwa nje ya ndoa
unatakiwa kuja home ujitambulishe na vilevile nikuomba msamaha ili ijulikane
utaoa au vipi
?Heeeeeee utafikiri nilichokoza nyuki kipindi hicho ndo alikuwa anahangaikia
maswala ya kazi akanambia ati hawezi kuja home saivi kwa vile anahangaikia
maisha kwanza,nikamwambia wazaz wangu wanataka wakuone na pia wajue utalea
mimba au utakataaaaa, basi tokea hapo hatukuonana tena tangu aniache chuoni
mimba ni changa hadi akapata kazi nikamkumbusha tena lakini ndo alikuwa
hataki hata kusikia akaanzisha Jingine la kuwa ngoja nijipange vizuri
kimaisha hapo mie tumbo linazidi kukua kila siku.mungu si athuman nilipata
kazi kama mhasibu ,niliweza kujikimu kwa vitu vidogovidogo,yeye nilikuwa
nikimwammbia ninashida na hela ananiambia hana,na wakati huo alikuwa
kabadilika sana hata kuniona saa zingine inakuwa kama ni karaha vile,mi
kashukuru mungu kuwa ninakazi basi nitaishi .kwasababu kama ni maisha
nilimsaidia kwa kila kitu wakati tupo chuoni hadi anapata kazi ni juhudi
zangu pia nilichangia lakini nilipo enda kwake ikawa ni shida
tupu.tuliendelea na maisha ya ainaile hadi nipo enda kujifungua home,kumbuka
hadi naenda home kujifungua alikuwa bado hajaenda kuwaona tena wazaz ingawa
ndo aliyekuwa wa kwanza kunilazimisha kuwaambia kuwa mi ni
mjamzito,.nashukuru mungu nilijifungua salama mtoto wa kike,yupo hadi sasa
lakini siku ambayo naenda kujifungua aliniachia hela ambayo niitumia kwa tax
tuuu ,yeye kama yeye alisema mshahara hauja toka bado mi nikasema fine
hakuna shida madam ninapesa inaingia bank na mimi na pia WAZAZ wangu
walinihudumia kwa kila kitu sikuona shida yoyote ile,siku niliyo toka
hospital alikuja kumuona mtoto na kuanza kumkagua kama anafanana na yyeye au
vipi nikamwacha akamwangalia thenananiaga kuwa atasafiri kurudi kazini,hela
hana ila atanitumia akifika.nikasema sawa ,ndugu mwanabidiiii tangu alivo
ondoka hakurudi tena wala kutuma hela ya matumizi ya mtoto hadi nikaridi
kazini baada ya likizo ya uzaz kuisha.chakushangaza nipo fika alishangaa
sana kwasababu sikumtaarifu kama nitarudi lini.wazaz wangu walikasirika
sana,kwamba wamemtunzia mimba,kwakweli hata miye nilijiskia vibaya koz huwez
amini hata mama yake hakuwahi kunijulia hali katika kipindi chote kile
alikuwa anakuja kuwasalimia ndugu zake hapo anapo fika yeye ni kilometa 90
kufika kwangu lakini hajawah kuja hadi kesho ninavo ongea
Sasa ishu inakuja kwamba huyu niliye zaa naye ilifikia mahali nilichoka
kumvumilia kwa sababu alianza tabia za ajabu alishakuwa na mwanamke mwingine
tena,nikamwambia mimi na yeye basi kwanza sijaona chochote kile
alichonisaidia kwa mtoto hadi umpigia kilele sana.wazaz wangu wamenambia
kuwa hawataki kumuona na kusikia kuwa anataka kunioa kwasababu mpaka ssasa
mtoto kesha kuwa anakaribia miaka miwili sasa,pia kwa sasa tangu mwez wa
pili amekuwa kunisumbua sana kuwa anataka kunioa ikafikia mahali alitaka
kujiua lakini mi namwambia kuwa sipo tayari nishaamua kuishi pekeyangu
tuuu.Kwani nikiishi mwenyewe ni makosaaa??????ametangaza mitaani kuwa mimi
ni mkewe ili hali hatujafunga ndoa bado je hilo pia ni sawaaaaaa???
NDUGU ZANGU NAOMBENI USHAURI KWA HILI KWANI MIM IHAPA NISHAMWAMBIA KUWA
SITAKI TENA KUOLEWA NA YEYE ,AKAOE MTU MWINGINE KWASABABU HAKUNA NDUGU YAKE
HATA MMOJA AMBAYE ALISHA MUONA MTOTO ZAIDI YAKE YEYE BABA WA MTOTO TUUUU.
NAOMBA USHAURI KWA HILI........niishi kwa amani