DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
- Thread starter
- #581
HahhahahahaTanteeeee
Shem lako hiloView attachment 744746
huo ujumbe kiboko [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahhahahahaTanteeeee
Shem lako hiloView attachment 744746
Nakuonaaa shemejiHahhahahaha
huo ujumbe kiboko [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sema skin colour iko tofauti sana.Nakuonaaa shemejiView attachment 744750
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sema skin colour iko tofauti sana.
Mimi ni pure african man, yaan ni dark skinned man for real.
Nimekiona ba mkweKizungu icho mama mkwe wangu
Mauwa pelekea nyuki me niko napenda mahela tu
Naomba nimuombee msamaha kwa niaba yanguAisee wewe kaka kuna sku ulinitukana sana wallah sitasahau
EwaaaaaaaaaaTanteeeee
Shem lako hiloView attachment 744746
AmeenMsamehe
Hakujua atendalo
Ebu weka picha shemSema skin colour iko tofauti sana.
Mimi ni pure african man, yaan ni dark skinned man for real.
Asantee yan hakuna sehem kanisemesha vizur huwa ananitus tu mm sjui hata kama ni mwemaa akiii simpendiNaomba nimuombee msamaha kwa niaba yangu
Akirudia tena uniambie usimchukie hivyo naomba umsamehe mdogo wangu kwa niaba yangu mm namwombea msamahaAsantee yan hakuna sehem kanisemesha vizur huwa ananitus tu mm sjui hata kama ni mwemaa akiii simpendi
Cha hapa na pale mke wangu amelala?Nimekiona ba mkwe
Amelala ba mkweCha hapa na pale mke wangu amelala?
Samahani sana hayo yalishapita [emoji120]Aisee wewe kaka kuna sku ulinitukana sana wallah sitasahau
Ndio mana nakupenda mmSamahani sana hayo yalishapita [emoji120]
Yamesha isha hayo jamani amani na upendo vitawaleAsantee yan hakuna sehem kanisemesha vizur huwa ananitus tu mm sjui hata kama ni mwemaa akiii simpendi
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria haba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Yeah, hakuna wa kunipa unachonipa, na wala
Hakuna wa kuniita unavyoniita
Hakuna wa kunifanya nihisi
Ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika
Nataka uwe nami kila siku
Uwe nami niwe nawe iwe mchana na usiku ah
Uwe jirani, uwe nami tuwe ndani
Urudi nyumbani kwani kwangu we ni kila kitu, yeah
Na inabidi uwe hapa bila shaka
Muda hauendi natamani urudi sasa
Hata Mungu hapendi nagubikwa na mashaka
Niondoe wasiwasi naomba urudi faster
Ujue, upweke na hofu ni juu yako
Nimekumiss nataka nijue japo
Upendo wako unanifanya niwe juu
Na kama utachelewa nataka nitue hapo
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba uuuh
Itakuwa ngum sana na nikawaza uuuh
Where you are you're far away, come back home
It's not the same without you, baby, come back home
I need you here with me, come back home
Tears on my pillow, eeeeh
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kila siku nafungua panzia asubuhi
Naangalia nje njiani
Nikidhani pengine siku utarudi
Ili tena niwe furahani, natafuta nyayo zakoo
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Aaah tears on my pillow...
Nimechoka nipo njiani, mpenzi
Kwako Ceph[emoji173]