Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oh yeah!
Huwa sipendi kula hasara mie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oh yeah!
Huwa sipendi kula hasara mie.
Nampikia maandazi na chai ya tangawiziHahahahh..! Kama unakula chips ujue umeishafail..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thread kaandikiwa mzigua afu wanaume wa dar tunajibu wa mikoani wanachombeza!! Vyuma hivi!!!!!!!!!
Mfyuuuu ushauri gani huo wa kutiana mimba kipindi hiki. Mimba mpaka baba J atoke madarakani
Alitumia condom
Hiyo lait truck ya baba J inanikoshagaKwani Baba J anahusika vipi na nyie kugegedana. Wewe fyatua tu Elimu bure WaTz tupo kwenye Lait Track
Hamna tulikua tunajikinga na ngomaHapo jamaa kuna vitu alimiss
Hamna tulikua tunajikinga na ngoma
Janga la nguvu za kiume halimuachi mtu salamaMwenzako msosi wangu mkubwa ni magimbi, maboga, mihogo, viazi vitamu, nyanya chungu, mgagani na kunde.[emoji135][emoji135]
huu ni wimbo au??😀We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria haba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Yeah, hakuna wa kunipa unachonipa, na wala
Hakuna wa kuniita unavyoniita
Hakuna wa kunifanya nihisi
Ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika
Nataka uwe nami kila siku
Uwe nami niwe nawe iwe mchana na usiku ah
Uwe jirani, uwe nami tuwe ndani
Urudi nyumbani kwani kwangu we ni kila kitu, yeah
Na inabidi uwe hapa bila shaka
Muda hauendi natamani urudi sasa
Hata Mungu hapendi nagubikwa na mashaka
Niondoe wasiwasi naomba urudi faster
Ujue, upweke na hofu ni juu yako
Nimekumiss nataka nijue japo
Upendo wako unanifanya niwe juu
Na kama utachelewa nataka nitue hapo
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba uuuh
Itakuwa ngum sana na nikawaza uuuh
Where you are you're far away, come back home
It's not the same without you, baby, come back home
I need you here with me, come back home
Tears on my pillow, eeeeh
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kila siku nafungua panzia asubuhi
Naangalia nje njiani
Nikidhani pengine siku utarudi
Ili tena niwe furahani, natafuta nyayo zakoo
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Aaah tears on my pillow...
Nimechoka nipo njiani, mpenzi
Kwako Ceph[emoji173]
Namimi stay with me my Smart911 lol!! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
Tanga kutamuuuuu hongera mziguaaaaaaa[emoji106] [emoji106]
Kuacha kufanya si rahisi etiiMsingefanya kabisa kama mnataka kujikinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu unakuja kusikia jamaa ni mshika pembe! 🙂😉😉