Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Mshikie asije akachoropoka, maliza mautundu yote ikiwezekana weka na staili za GuDume za kuzunguka kama feni hahahahaAsante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshikie asije akachoropoka, maliza mautundu yote ikiwezekana weka na staili za GuDume za kuzunguka kama feni hahahahaAsante mkuu
Huwa mnapata wapi muda wa kuandika biblia utenzi mrefu hivyo???
Au ndiyo THE IDLE MIND TURN TO BE WORKSHOP OF THE DEVIL.
Lazima litokee kesho kwenye fenti fordi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha naona umeamua kumshushia gazetiii
Nani anagonga?Anashika pembe
Moto unawaka kila mahali. Usijs sema unahisi baridi [emoji23][emoji23][emoji23]Humu leo ni hatari [emoji39][emoji39][emoji39]
Zimefika mkuu...sijui accnt yake imepatwa na nn,,akijaribu kuingia anashindwaMkuu mpe hi Jolie Jolie
Naona leo ni valentine's day humu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moto unawaka kila mahali. Usijs sema unahisi baridi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ka party wapi sasa nije kuwatia hasara kidogo hata ya box moja?Asante mla bata mwenzangu
Hapana, ila nimebanwa kiasi kwamba mapenzi hayawezi kupewa sehemu kubwa ya ubongo wangu kiasi hicho, kuna MUNGU na Pesa vimeload sana ubongo wangu.Acha wivu.
Au nawe huna masikio kama mimi?
Teh teh teh
MkuuHuwa mnapata wapi muda wa kuandika biblia utenzi mrefu hivyo???
Au ndiyo THE IDLE MIND TURN TO BE WORKSHOP OF THE DEVIL.
Humu leo ni hatari [emoji39][emoji39][emoji39]
MkuuHuwa mnapata wapi muda wa kuandika biblia utenzi mrefu hivyo???
Au ndiyo THE IDLE MIND TURN TO BE WORKSHOP OF THE DEVIL.
Moto wa majani mabichiMambo niiiiiii???? Wanasema motooooooo
Hapana, ila nimebanwa kiasi kwamba mapenzi hayawezi kupewa sehemu kubwa ya ubongo wangu kiasi hicho, kuna MUNGU na Pesa vimeload sana ubongo wangu.
Raha jipe mwenyewe wanasemaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona leo ni valentine's day humu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huhuhuhh..! Wangu anafundishwa kumtafuta Mungu na Pesa basi, mahaba yapo but occasionally.Mkuu
stay calm
na wewe utaandikiwa soon
Leo nimeamini. Ukingojea kupewa utasanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha jipe mwenyewe wanasemaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
La kumbebisha mumubandiko gani?
Sawa akili kubwaHuhuhuhh..! Wangu anafundishwa kumtafuta Mungu na Pesa basi, mahaba yapo but occasionally.