Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Wewe utaniacha najuaDuh kwanini? Kumbe ndio maana hunikubali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utaniacha najuaDuh kwanini? Kumbe ndio maana hunikubali!
EiiishAisifuye mvua.....
Kwanini?Wewe utaniacha najua
HutanivumiliaKwanini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiona kwa stts anataka no kwahiyo huwa unampa au
Mm tena rrondo sikukubali jamani sio mzigua tenaDuh kwanini? Kumbe ndio maana hunikubali!
ImemnyesheaAisifuye mvua.....
Hahaha rrondo huyu utamuachaSMH.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe simuachii
Nakazia [emoji3]Hutanivumilia
Hahhaha nawaza tu ukimpa atajitambulishaje huko
Hahaha ya wakunyumba ungepewa lazima ungenitafuta tuOh yeah....napewa
Hata ya wakunyumba jana nilipewa teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntajitambulisha hivi.....
Hello mrembo....
Kwa jina napenda unitambue kama Julius Magembe.
Ila tafadhali tusiombane vitambulisho.
Hahaha ya wakunyumba ungepewa lazima ungenitafuta tu
Hahahhaha sipokeagi no ngeni mieOh nooo.....mi sina papara.
We subiri tu....ukiona namba mpya na ya ajabu ajabu inakupigia jua ni Julius....[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Oh yeah....napewa
Hata ya wakunyumba jana nilipewa teh teh
Ntawaambia wakuombe.Ntajitambulisha hivi.....
Hello mrembo....
Kwa jina napenda unitambue kama Julius Magembe.
Ila tafadhali tusiombane vitambulisho.
Hahahhaha sipokeagi no ngeni mie
Sijampa aliona picha tu status. Akatuma eti na zile nyingine za kuweka jalalaniHahahhaha sipokeagi no ngeni mie
Sijampa aliona picha tu status. Akatuma eti na zile nyingine za kuweka jalalani