DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
- Thread starter
- #421
Yaani imani yote imepotea shem wang wa zaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli sasa hivi hauniamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani imani yote imepotea shem wang wa zaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli sasa hivi hauniamini
HahaaaaaSasa hivi ndio nimejua what im missing
Kweli kabisa....Hahaaaaa
Mkuu inabidi ujifunze kupetipeti hawa madada wa mjini wanataka{ga} Mr everything[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuache ubahili alafu tujue tu swaga swaga hivi.
Hahaaaaa we sio wakunifanyia hivyoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana na mito yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani huyo ndio akae mita 1000 kutoka ukumbini.
Hahaha sio mm shem tatizo ni pesaYaani imani yote imepotea shem wang wa zaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
Heheheheeeehhehe haaaaalo[emoji23] [emoji1]We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria haba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Yeah, hakuna wa kunipa unachonipa, na wala
Hakuna wa kuniita unavyoniita
Hakuna wa kunifanya nihisi
Ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika
Nataka uwe nami kila siku
Uwe nami niwe nawe iwe mchana na usiku ah
Uwe jirani, uwe nami tuwe ndani
Urudi nyumbani kwani kwangu we ni kila kitu, yeah
Na inabidi uwe hapa bila shaka
Muda hauendi natamani urudi sasa
Hata Mungu hapendi nagubikwa na mashaka
Niondoe wasiwasi naomba urudi faster
Ujue, upweke na hofu ni juu yako
Nimekumiss nataka nijue japo
Upendo wako unanifanya niwe juu
Na kama utachelewa nataka nitue hapo
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba uuuh
Itakuwa ngum sana na nikawaza uuuh
Where you are you're far away, come back home
It's not the same without you, baby, come back home
I need you here with me, come back home
Tears on my pillow, eeeeh
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kila siku nafungua panzia asubuhi
Naangalia nje njiani
Nikidhani pengine siku utarudi
Ili tena niwe furahani, natafuta nyayo zakoo
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Aaah tears on my pillow...
Nimechoka nipo njiani, mpenzi
Kwako Ceph[emoji173]
Hahaaaaa
Mkuu inabidi ujifunze kupetipeti hawa madada wa mjini wanataka{ga} Mr everything[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuache ubahili alafu tujue tu swaga swaga hivi.
Na rrondo alivyo mbahili sasaKweli kabisa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuuuuuuuu ya kubarikiwaHahaaaaa we sio wakunifanyia hivyoo.
"Iko siku yangu tuuu, iko sikuuuu"[emoji443] [emoji445] [emoji442]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wewe nani amekuteka siku hiziWooooouzeeeeeeer mapenzi mubashara
Wale wanaokwazika watu kuitana baby na waendelee kusonya kimya kimya
Hiko kicheko umenikumbusha muuzajiHeheheheeeehhehe haaaaalo[emoji23] [emoji1]
HahahahaaUsishangae ukiniona kwenye gazeti nipo ilala. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaBasi ule kimya kimya na mim nikja naonja kidogooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wewe nani amekuteka siku hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🙂🙂🙂🙂
Ni wewe eti[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji91]
Nimekumiss pia ex baeMi mwenyewe nimekumiss [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Walaaa...muulize mwenyewNi wewe eti