Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Hahaha juzi hukuwepo kweny uzi wa london bby,muuzaji aliamka na Mzigua haha afu mzigua hana presha mwenyew anajibu kistaarabu tu japo alirushiwa mitusi kama kawaida.Mzigua sijui alikua hajashtua akili na heinkenHiko kicheko umenikumbusha muuzaji