Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank u mpendwa.. So nimefaulu paper! Hapo sikwenda HGL. Ningeenda ningekuwa hatare!!Kwa Kiingereza yote yafuatayo ni sawa:
I doubt you are a Tanzanian.
I doubt that you are a Tanzanian. (that = kwamba, basi siyo lazima kulitumia neno hili.)
I doubt if you are a Tanzanian.
to doubt inakaribia maana ya kutosadiki, yaani tayari neno lenyewe ni negative. Kwa hiyo hatutumii not kabla ya Tanzanian katika sentensi hiyo I doubt that you are not a Tanzanian. hilo ndilo kosa la double negative.
Kwa ujumla maana ya to doubt ni kuwa na shaka.
Kwa sababu ya makosa ya sentensi hapo juu nizidishe maelezo:
Sentensi ifuatayo ni sawa:
I doubt you are a Tanzanian. = Sisadiki wewe ni Mtanzania.
I have no doubt you are a Tanzanian. = Ninao uhakika kwamba wewe ni Mtanzania.
Sentensi ifuatayo siyo sawa au siyo Kiingereza kizuri:
I daubt,your not a tanzanian.
I have a doubt, you are not a tanzanian.
I have no doubt you are not Tanzanian. - Hiyo ina maana (Ninao uhakika wewe siyo Mtanzania.)
lakini double negative ni mbaya kwa Kiingereza. Afadhali kabisa na fasaha ni: I am sure you are not Tanzanian. = Ninao uhakika wewe siyo Mtanzania.
And ukisema I doubt that you're Tanzanian
Double negation zinakubalika hata kwenye discpline nyingine. Mfano kny field yangu neno " it is not uncommon" kumaanisha it is common, linatumiwa sana tena globally.
Kwa Kiingereza yote yafuatayo ni sawa:
I doubt you are a Tanzanian.
I doubt that you are a Tanzanian. (that = kwamba, basi siyo lazima kulitumia neno hili.)
I doubt if you are a Tanzanian.
to doubt inakaribia maana ya kutosadiki, yaani tayari neno lenyewe ni negative. Kwa hiyo hatutumii not kabla ya Tanzanian katika sentensi hiyo I doubt that you are not a Tanzanian. hilo ndilo kosa la double negative.
Kwa ujumla maana ya to doubt ni kuwa na shaka.
Kwa Kiingereza yote yafuatayo ni sawa:
I doubt you are a Tanzanian.
I doubt that you are a Tanzanian. (‘that' = ‘kwamba', basi siyo lazima kulitumia neno hili.)
I doubt if you are a Tanzanian.
‘to doubt' inakaribia maana ya ‘kutosadiki', yaani tayari neno lenyewe ni ‘negative'. Kwa hiyo hatutumii ‘not' kabla ya ‘Tanzanian' katika sentensi hiyo – ‘I doubt that you are not a Tanzanian.' – hilo ndilo kosa la ‘double negative'.
Kwa ujumla maana ya ‘to doubt' ni ‘kuwa na shaka'.
I doubt that you are not a Tanzanian.