Please correct this sentence

Please correct this sentence

kumbe kiingereza ni ugonjwa Tanzania,halafu kuna watu wanajifanya kukosoa wenzao kumbe hamna kitu
 
suppose you have told me that you're not a Tanzanian and I have a doubt on it. Will I be wrong to say " ‘I doubt that you are not a Tanzanian"?

Kama nimeshaelewa hapo juu, sentensi: "I doubt that you are not a Tanzanian" siyo Kiingereza kizuri kwa ujumla. Sentensi ile ina maana sawasawa na ‘logic’ lakini inaweza kuachanganyika kutokana na double negative. Siku ya leo niliuliza watu wawili (hapa Uingereza) juu ya sentensi hii, na mmoja alisema mara moja siyo sawa kwa sababu ya double negative (yeye ni mwalimu pia), na mwingine alisema inachanganyika kwa sababu ya double negative. Basi, wanakubali kabisa na yale niliyoyaandika hapo juu. Mwingereza angesema katika mfano wako: “I think you are a Tanzanian.” siyo, “I doubt that you are not a Tanzanian.” Maana ya sentensi hii ni mmoja lakini katika ya kwanza maana ni wazi kabisa tena ni Kiingereza kizuri.

As I have already said above, the sentence: "I doubt that you are not Tanzanian" is not good English in general. It has meaning according to 'logic' but it is a bit confusing because of the double negative. I asked two English people today about this sentence and one said immediately that it is wrong because of the double negative and the other said it was a bit confusing because of the double negative.
An English person would say, for example: " I think you are a Tanzanian." The meaning of this sentence is the same as your sentence but this one is clear and grammatically correct. If a person says they are not a Tanzanian but you think they are, then we would say, for example, "I think you are a Tanzanian."
 
Kama nimeshaelewa hapo juu, sentensi: "I doubt that you are not a Tanzanian" siyo Kiingereza kizuri kwa ujumla. Sentensi ile ina maana sawasawa na ‘logic' lakini inaweza kuachanganyika kutokana na double negative. Siku ya leo niliuliza watu wawili (hapa Uingereza) juu ya sentensi hii, na mmoja alisema mara moja siyo sawa kwa sababu ya double negative (yeye ni mwalimu pia), na mwingine alisema inachanganyika kwa sababu ya double negative. Basi, wanakubali kabisa na yale niliyoyaandika hapo juu. Mwingereza angesema katika mfano wako: "I think you are a Tanzanian." siyo, "I doubt that you are not a Tanzanian." Maana ya sentensi hii ni mmoja lakini katika ya kwanza maana ni wazi kabisa tena ni Kiingereza kizuri.

As I have already said above, the sentence: "I doubt that you are not Tanzanian" is not good English in general. It has meaning according to 'logic' but it is a bit confusing because of the double negative. I asked two English people today about this sentence and one said immediately that it is wrong because of the double negative and the other said it was a bit confusing because of the double negative.
An English person would say, for example: " I think you are a Tanzanian." The meaning of this sentence is the same as your sentence but this one is clear and grammatically correct. If a person says they are not a Tanzanian but you think they are, then we would say, for example, "I think you are a Tanzanian."

Thanx!
 
Mara nying ukichungua sentensi ya kingereza ukiitafasiri kwa kiswahili ukiona neno la kwanza linaenda na la kwanza,lapili na la pili basi hizo ni zile direct translation wanzofanya wabongo kulazimisha kupata sentence yakingereza ila wanaanza na kiswahili then wanatafuta the corresponding english word.

"I doubt that you are not a Tanzanian"

I doubt=Nakuhisi/siamini
that=kwamba
you are not=wewe si
a tanzanian=mtanzania

Hapa hakuna English,ni kama yale ya baba mdogo=small father ,hakuna kitu hicho in English.
Kwa hiyo hiyo sentence haiko sahihi,sababu zangu ni hizo na wengine wameona zingine.Over

Back
Top Bottom