Double negation zinakubalika hata kwenye discpline nyingine. Mfano kny field yangu neno " it is not uncommon" kumaanisha it is common, linatumiwa sana tena globally.
Swali ya Barasu inahusu Kiingereza cha kila siku na general grammar – siyo cha ‘discipline' ya ‘Law' au nyingine. Lakini kama nimeshaonyesha hapo juu, hata kwa ‘disciplines' wanashauri tuepushe double negatives. Kusudi langu ni kumsaidia Barasu kuelewa vizuri kosa la sentensi aliyotoa – na ‘context' ni lugha ya kila siku – general English.
Nasema tena, sentensi ifuatyo siyo sawa:
I have no doubt you are not Tanzanian. x
I doubt that you are not a Tanzanian. x
Typical kosa ni hiyo: "I didn't see nobody." This sentence is grammatically wrong. Hiyo ni double negative na siyo sawa. Nilishauri juu ya General English kwani naamini hiyo itamsaidia Barasu afadhali katika ya ‘context' na swali lake. Haikuwa kusudi langu kumpa ‘a lesson in Advanced English' na naamini hiyo siyo lazima kuhusu swali lake na katika jibu.
Kama unataka kusema (to imply) kwamba ipo mifano ya double negative na
kwa hiyo double negatives ni sawa kwa Kingereza, unakosa sana na hutamasaidia Barasu.
Ndiyo, hitilafu (exceptions) ya namna nyingine ipo. Kwa mfano:
‘not + negative prefix' Kwa mfano:
‘not uncommon' (kama ulivyotaja) na ‘not insignificant'
Lakini tusimdanganye Barasu afikiri double negative ni sawa kwa sababu exceptions ipo.